makonda wa daladala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Makonda kutokutoa chenji

    Makonda wa daladala za Masaki-Gerezani wamekuwa wakichukua nauli iliyozidi. Nauli ni 700 wao ukiwapa hela kama 1000 na kuendelea wanakukata 800 kwa kisingizio cha kukosa chenji. Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli
  2. JamiiForums Tanzania Ninawachukia sana bodaboda na makonda wa daladala

    Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?). Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda wa Arusha ruti ya Kilombero kwenda Kiseriani Madukani wanaibia abiria nauli

    Hii ni kero ya watu wengi nimeamua kuiweka hapa ili wahusika wachukuliwe hatua, Kwanza kabisa kwenye mwezi wa tano hawa jamaa wa haisi walikuwa hawafiki mwisho wa ruti kwa zaidi ya miaka miwili walikuwa wanaishia relini yaani kuna kama km4 hivi ndo ufike kiseriani mafukani, ambapo nauli ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…