makazini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanesco Mngesubiri Watu Wajiandae Waende Makazini Angalau, Mnakata Umeme Mtu Akiwa na Mapovu Bafuni Wazee...?

    Hata salamu sitoi. Kiukweli hii sio sawa aisee mmeamua kutushindisha bila ya umeme na kutulaza bila ya umeme sawa haina shida, ila kwa asubuhi angalau mgekuwa mnakata japo saa 2 kamili wazee. Kuna sehemu zina baridi na watu wanatumia heater kuoga, sasa mtu ameshajipaka sabuni hata hajaanza...
  2. JamiiForums Tanzania Tuliopitia Vita Na Chuki Makazini Tushirikishane Hapa

    Habari za muda huu Haya yalinikuta kwenye kazi yangu ya kwanza nilipokuwa bado sijafunzwa na Ulimwengu 1. Chuki ya kwanza nilijisababishia mwenyewe baada ya kutongoza wafanyakazi watatu kwa nyakati tofauti wote walichomoa na kumbe walihadithiana ndipo nikaanza kupitia sarakasi na vitimbi hadi...
  3. JamiiForums Tanzania Ndalichako ashauri Maboss kuwawekekea Gym wafanyakazi makazini

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako amewagiza waajiri kuweka mifumo kwa wafanyakazi wao ya kuwewezesha kufanya mazoezi ikiwemo ‘gym’ ili kuwa na wafanyakazi wenye afya njema. Waziri huyo amesema moja ya sababu ya kutaka gym ziwepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…