makato nmb

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kiss ov love

    Haya makato NMB mbona sijayaelewa

    Guys, last week niliuza vipande UTT kiasi cha 300k taslimu, sasa hadi kufika kwenye akaunti yako ya benki inachukua siku 3 za kazi. So, ikawa imefika leo chakushangaza hela imeingia leo hii, mida ya jioni nimeangalia kwenye akaunti yangu ya NMB nakuta ipo 289, 571 nimeshangaa hiyo elfu 10 na...
  2. Mlalamikaji daily

    Ni wakati sasa na sisi wateja wa bank ya NMB kugomea makato ya Tsh 16,000 kwa mwaka

    Kama ni mteja wa NMB kwasasa utaona deni la tsh 3999 limewekwa kwa ajili ya Mastercard sijui nini nini huko.. Haiwezakn ukatwe makato ya kila mwezi, Makato ya kutoa pesa, Gharama za uendeshaji, halafu na gharama za kadi.. Nmb acheni wizi, Vinginevyo na sisi tunakuja, Kama generation X Shenzi.
Back
Top Bottom