Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu
1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia
2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa
Ni mtazamo wangu tu
Aliyekuwa Mkurungezi wa Azam tv ameteuliwa kuwa Mkurungezi wa Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.