makadirio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani
  2. JamiiForums Tanzania Msaada makadirio kwa ramani hii

    Habarini wakuu, Naombeni msaada wa makadirio ya tofali na material za ujenzi kwa ramani.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua makadirio ya pesa nyumba hii

    Habari nyingi wakuu. Tumeanza mwaka na mipango mipya. Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah. Vyumba vitatu vya kulala (1 bedroom) Jiko Dining Kitchen Store Sitin room Public toilet...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba makadirio ya haraka haraka ya tofali kwa hii ramani

    Hello wakuu mambo vip. Tafadhali wale wazoefu, naomba kujua makadirio ya haraka haraka kwa msingi tuu, wa ramani hii maana pesa ni za kudunduliza. Makadirio ya tofali Makadirio ya mifuko ya cement NA nondo za lenta ya msingi Pia na ufundi. Nyumba ukubwa ni meter 80 Kamjengo nataka kuweka...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Makadirio ya tofali na gharama kwa ujumla

    Kwa ramani hiyo wakuu, inaweza gharimu tsh ngapi mpaka naingia?
  6. JamiiForums Tanzania Nigeria: Athari za ugaidi ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya awali

    Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limetoa ripoti inayoangazia madhara ya mapigano katika eneo la Kaskazini mwa Nigeria, likikadiria kuwa athari za mgogoro huo ni kubwa mara 10 zaidi ya makadirio ya athari yaliyotolewa awali. Awali, Shirika hilo lilikadiria kuwa takriban watu...
  7. JamiiForums Tanzania Makadirio ya kodi kama CIF ni tofauti na Calculator ya TRA

    Habari wakuu, Nimeona gari beforward nimependa na nataka kuagiza. Ishu inakuja sasa gari CIF yake ni 3585 USD lakini TRA wao wame calclualte kwwa CIF ya 2709USD. Hapo calculation ya mwisho itakuwaje wakati wa kuitoa bandarini.
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Kujenga nyumba kama hii kwa kijijini inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?

    👇👇👇
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Asalam Ailekum wandugu, Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Natanguliza Asante. --------------------
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…