Salaam Wakuu,
Imedaiwa Eti, Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na nne tu) kwa Tani moja!
Bei ya Soko la Makaa ya Mawe kwenye Market Insider ni dola 315 sawa na...