Wadau naomba kufahamu,hivi katika suala la kuajiriwa kwa vyeti, iwapo jina lako la kati herufi moja haifanani katika vyeti na nida
Mfano, Jina la kati huku ni "Hamad" na kule ni "Hamadi". Tofauti ni uwepo wa herufi "I" ya mwisho
Je? Kuna effect gani apo na kuna namna yoyote ya kusolve apo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.