maji yenye tope

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    KERO Responded Wananchi wa Baraki Wilayani Rorya wanachota maji yenye tope kwenda kupikia

    Hali ilivyo kuhusu changamoto ya ubahaba wa maji safi na salama kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo kuna takribani Kilometa 5 tu na lilipo Ziwa Victoria lakini huduma ya maji safi bado ni mtihani kwao. =========================== Hapo ni Kata ya...
  2. K

    KERO Mamlaka ya Maji Mhanuzi - Meatu Mkoani Simiyu inatuhudumia maji yenye tope, ni kweli hakuna chujio?

    Mimi ni mdau natokea Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, naishi hapa makao makuu ya Wilaya, Mjini Mhanuzi. Sisi Wananchi wa makao makuu ya Wilaya hapa Meatu Mjini Mhanuzi, tunayo mashaka makubwa na haya maji ambayo tunatumia. Maji haya ambayo yanatolewa kama huduma na Mamlaka ya Maji na usafiri wa...
Back
Top Bottom