maji goba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums KERO Tatizo la maji Goba, DAWASA inampango gani?

    Hii shida tunapigia kelele miaka nenda rudi. Dar haina shida ya maji, lakini Goba ni zaidi ya ukame, maji kutotoka miezi miwili ni jambo la kawaida. Saa nyingine maji yatatoka mtaa wa juu, wa chini wote hampati maji. Ni changamoto sana, kununua deli moja ya maji sasa hivi ni elfu 20 kutoka...
  2. JamiiForums Responded DAWASA yaelezea sababu ya kuyumba kwa huduma ya maji Goba River view

    Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni. Hoja ya Mdau ~ Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh...
  3. J

    JamiiForums KERO Goba Lastanza hatuna maji tunaelekea mwezi wa pili sasa. Nani ananufaika na hali hii?

    Mimi ni mkazi wa Goba Lastanza. Tunaelekea kutimiza mwezi wa pili sasa bila kupata huduma ya maji, hali ambayo imetulazimu kununua maji kutoka kwenye magari. Tatizo hili si geni na limekuwa likijitokeza mara kwa mara. DAWASA, Serikali za Mitaa, Mbunge na uongozi wa mkoa wanafanya nini...
  4. A

    JamiiForums KERO Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh elfu 40

    Tuna report shida ya maji kila siku ila ndo hivo suluhu hamna takribani miezi 6 sasa Habari, mimi ni mkazi wa Goba, Mtaa wa River View, nahudumiwa na DAWASA Makongo lakini mtaani kwetu imekuwa ni desturi sasa maji hayatoki miezi sasa! Japo ratiba yetu ya mgao ni Alhamis na Jumatatu lakini hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…