majaji

Queen Modjadji is the hereditary female ruler and queen of Balobedu, South Africa. She is known to be mythical and historical, and she is believed to have had powers that let her control the clouds and rainfall by bringing rain to her friends and drought to their enemies.
Female rulers were known as “rain queens” or “rainmakers” around this time. Furthermore, she brought rain to the regions of any visitors who offered her gifts and tributes. As a conspicuous figure in South Africa, transforming the clouds was her specialty. She was essentially not a ruler, but a rainmaker. Men relied on her ability for security, as she would provide rain for her town’s tribe as a shield.
The Lobedu (Lovedu) tribe believed that the queen exercised some general control over their seasons, and thus, she was held accountable for the effects of the rain conditions. She also had a team of assistants.
The queen also functioned as a ritual doctor who made medicines. The rain medicines were stored in earthen pots in a secure part of the village. Her reputation spread from Zambezi to the Southern Ocean as having medicines for all people, including medicines that made warriors invincible by crippling their enemies.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

    6.11.2026 Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges Bold Judges 1. Mwalusanya 2. Lugakingira. 3. Katiti 4. Mlay 5. Kalegeya 6................. Shyster Judges 1. 2. A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo Katiba,wala siyo Sheria,ila ni majaji wanaomba rushwa

    Tatizo ni machawa Tatizo ni majaji wanapokea rushwa. Haya ndiyo mawazo ya Talmud.( Rabbi Mirvis aliniambia ninayo ruhusa yake kuongea kuhusu Talmud) Tumejifunza katika Boraitha: Kama utaishi katika kizazi ambacho kuna shida nyingi(mateso), nenda ukachunguze miongoni mwa waamuzi( majaji) wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi

    Majaji kukubali kuelekezwa Tanzania na wanasiasa ni sawa na kujichimbia kaburi. Hao wanasiasa wanajisahau mapema sana mkiwakubalia wawape maelekezo kesho kutwa tu watawadharau kiasi kwamba mtakuwa kama wale wasajili wa vyama hawana heshima kwa serikali wala watanzania kama zamani
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) 2026 / The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF)

    05 October 2026 Unguja, Zanzibar Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) umeanza leo Zanzibar , Oktoba 5 hadi 9, 2026 . The Southern and Eastern African Chief Justices Forum (SEACJF) Annual General Meeting 2026 Zanzibar Maelezo Muhimu...
  5. JamiiForums Tanzania Hii kesi inawavua nguo mawakili wa serikali nani wa kuwavisha tena? Njia pekee ni kuwateua wawe majaji

    Huu ni ushauri wangu kwa serikali, Yanayoendelea mahakamani ni aibu aibu aibu aibu, Tundu Lissu anawavua chupi mawakili wa serikali mchana kweupe. Ni aibu mh rais wateule wawe majaji tusiwe tunawaona mara kwa mara ni aibu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Majaji wasikubali kudanganywa na msamaha wa Raisi kwa Lissu!

    Majaji wanadanganya watoe hukumu ya kumuonea Lissu na kuhukumu anyogwe kwa kuwaambia pamoja na kwamba hana hatia Raisi atampa msamaha. Swali ni lini huyu Raisi fake amekuwa mkweli. Majaji ndiyo watabaki na historia ya hukumu ambayo itawaaribia record yako. Kibaya zaidi wasikubali wafuate sheria...
  7. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Majaji wanaweza kuwa na hukumu yao na sisi JURY tukawa na hukumu yetu.

    Kwa nchi kama USA kesi huwa zinaendeshwa na Majaji lakini wanaotoa hukumu ni Wananchi wenyewe ambao wanajukana kama Jury. Sasa kwa kesi ya Lissu wananchi tumeifuatilia vizuri sana na ushahidi wa pande zote tumeuona. Kama ikitokea Majaji wakatoa hukumu yao tofauti na Jury nafikiri dunia nzima...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Majaji Wa Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu Hawana Hukumu Tayari?

    Hakika majaji wanaweza kuwa na rasimu ya hukumu vichwani mwao. Hata sisi wafuatiliaji wa mwenendo wa ushahidi mahakamani wa kesi hiyo tuna hukumu zetu (zisizo rasmi) vichwani mwetu. Tunasubiri hukumu ya mahakama kulinganisha na za kwetu, kama tulivyoshangazwa na ruling of prima facie case...
  9. JamiiForums Tanzania Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

    Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao. Kama hali...
  10. JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu? Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI. Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya. Amri zote walizotoa hakuna...
  11. M

    JamiiForums Tanzania AINA YA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU KATIKA UISLAM. JEE BADO WAPO KWA SASA?

    Katika Uislamu, jaji (qāḍī) ana jukumu kubwa sana la kusimamia haki na kuhukumu baina ya watu kwa mujibu wa uadilifu. Mtume ﷺ alitoa maonyo makali kuhusu nafasi hii kwa sababu jaji anaweza kuingia katika dhuluma ikiwa atahukumu bila elimu, ushahidi au uadilifu. Hadithi maarufu kuhusu majaji...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  13. JamiiForums Tanzania Mmoja kati ya majaji waliopangiwa kesi ya Lissu aliwahi kutuhimuwa na Lissu kuwa aliteuliwa bila kuwa na vigezo. Je, watatenda haki?

    Rufaa iliyokatwa na upande wa mashtaka (mawakili wa serikali) katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Tundu Antipas Lissu inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 11-06-2026. Majaji watatu wa Mahakama ya Rufani wamepangwa kusikiliza rufaa hiyo. Swali ni Je, watatenda haki...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ataka Haki na Uadilifu kwa Majaji

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka haki na uadilifu. ■Aapisha majaji wa rufaa, awakumbusha pia uzalendo ■Asisitiza kuepuka upendeleo, kuwa na hofu ya Mungu ■Asema duniani ukiacha Mungu, dhamana kubwa ni yao
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha Majaji 9 wa Mahakama ya Rufani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 26 Mei, 2026, amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aliowateua hivi karibuni kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani. Majaji walioapishwa ni (i) Mhe. Imani Daud Aboud; (ii) Mhe. Rabia Hussein Mohamed...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Uteuzi majaji Mahakama ya Rufani utaharakisha mlundikano wa kesi?

    Mei 20, Rais Samia Suluhu Hassan aliteua majaji tisa wa Majaji wa Mahakama ya Rufani na hivyo kuongeza idadi yao kufikia 49. Uteuzi huo umeibua matumaini utatuzi wa ucheleweshwaji wa kesi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kutana na Majaji macho kumchuzi

    Jaji Chande, Jaji Ibrahim Juma, Jaji Mwambegele na Jaji Francis Mutungi. Hawa ndiyo Majaji walioshusha hadhi ya mahakama hapa Tanzania. Hawa ni Majaji macho kumchuzi. Hawa ndiyo wamewafedhehesha Majaji na mahakimu wote Tanzania. Majaji hawa wameonyesha kujali sana matumbo yao kuliko taaluma...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Majaji : Juma & Chande sio kama Nyalali & Warioba

    Juma & Chande Ukiacha kutetea CCM hawa majaji hawajalifanyia chochote cha maana kwenye uongozi wao badala yake wamegeuza mahakama kuwa chombo cha kisiasa kwa kujali matumbo yao na kuuza mahakama kwa serikali. Wenzao waliopita wenye majina ya majaji walikuwa wanaheshimika sana kama wapigania...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nawahurumia majaji wa Lisu, masikini watalazimshwa kuandika hukumu ya "kijinga" kama ushahidi wenyewe ndio huu....itawaharibia credibility yao indefin

    Kama wamepewa maagizo, itabidi waandike wakubwa wanavyotaka ambayo itakuwa ni " maafa" kwa professionalism yao. Wafanyeje waepuke kadhia hii? Maana hakuna ushahidi, pale ni ujinga wa watu kula posho! How do you convict Lisu from such evidence? Time will tell!
  20. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mchongo ina dhalilisha Jeshi la Polisi, Offisi ya mwendesha Mashtaka, Mahakama, Majaji na Watanzania wote kwa ujumla wetu

    Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…