maisha yamebadilika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika sana, siku hizi mguu wa kutoka unafanana na mguu wa kubaki ndani

    Kuna ngoma ya Mulla Obo – Box One, kuna line anasema: “Mguu wa kutoka haufananishwi na wa kubaki ndani.” Kwa mazingira ya zamani, hii line ilikuwa na maana kubwa sana. Dunia ilikuwa bado haijawa interconnected kama ilivyo leo. Karibu kila kitu kilihitaji uwe physically present. Kama unataka...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika, waliokuwa hawapokei Simu zangu leo nimekuta missed call zao

    Katika maisha, tujifunze kuishi kwa maadili, heshima na adabu. Hata maisha yawe magumu kiasi gani, ukipata nafasi ya kupumua na kuona hatua moja mbele, usisahau kumshukuru Mungu. Kila mtu ana muda wake wa kufanikiwa. Wapo wanaowahi kufika kwenye mafanikio, na wapo ambao safari yao huchukua muda...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika

    Ukiona mtu,anakuheshimu ,ana kupigia simu alafu huna pesa, huna kazi , huna chochote, huyo ni zaidi ya binadamu .muombee sana kwa Mungu 😥
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya maisha yangu baada ya kuoa

    Haya ni mabadiriko ya maisha yangu baada ya kuoa. POSITIVE. 1. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza lala bila kula au nikala mkate na juisi tu nikalala ila sasa nikitoka kazini na njaa nakuta mke wangu amenipikia chakula nikipendacho. 2. Kabla ya kuoa nilikuwa naweza amka asubuhi,nataka kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…