maisha ya watanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ndio uhalisia wa maisha ya Watanzania. CCM imekataliwa na Watanzania

    Haina Sapoti yoyote kwenye mitandao ya kijamii. Huku ndiko watu wanajadili maisha ya kila siku. Siasa ndio maisha ya watu. Inabeba kila jambo linalomhusu mwananchi. Ukiingia kwenye kila mtandao wa kijamii.CCM imekataliwa na wananchi. Hii ni picha halisi hata kwa maisha ya uraiani CCM haitakiwi.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ndiye Kabeba Hatima Ya Taifa Hili Na Maisha ya Watanzania. Tuendelee Kukesha Tukimuombea Afya Njema Na nguvu za Kutuongoza

    Ndugu zangu Watanzania, Hatima ya Taifa Hili Ipo Mikononi Kwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hatima ya Maisha na ubora wa Maisha ya Watanzania Upo Mikononi Mwake. Afya za Watanzania,ajira kwa vijana, Bei za Mazao ya...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tuungane Kuokoa Maisha Ya Watanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania, taasisi za umma na binafsi, mashirika na wadau wa maendeleo waungane na Serikali katika kuwezesha matibabu ya upandikizaji wa figo na uloto kwa wananchi wasiokuwa na uwezo ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji huduma hizo za kibingwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaotumia group za WhatsApp kuchochea vurugu waje wenyewe wasitumie watoto wa Kitanzania kama chambo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza bungeni leo Juni 26, 2026, amesema Mipango yote ya serikali ikiwe Dira ya Maendeleo pamoja na Bajeti Kuuu ya serikali kwa mwaka 2026/2027 ambayo imepitishwa na Bunge yote hayawezi kutekelezwa bila uwepo wa amani na usalama nchini. Ametoa wito kwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashukuriwe na kupongezwa sana Kwa Uongozi Wake Uliobadilisha Maisha ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Lazima Sote kwa Pamoja bila kujali itikadi za vyama vyetu ,Dini zetu ,Makabila Yetu ,ukanda ,jinsia zetu ni lazima tukubali Ukweli wa Kuwa Rais Samia Uongozi wa Rais Samia Tangia kuingia Kwake Madarakani Umebadilisha Maisha ya watanzania. Umeleta Matumaini kwa watu na...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi CCM ipo serious na maisha ya Watanzania? Kama Wizara ya habari na Utamaduni na Michezo inapewa bil 562 halafu Wizara ya Maji tril 1.2!

    Tujiulize na kujihoji . Wizara ya habari utamaduni na michezo ina umuhimu gani kupewa bil 562? Kuwapa motisha wakata viuno na content creators? Kama Jiji kama Dar ea salaam kuna shida ya maji. Kwa nini hii wizara isipewe pesa nyingi na wizara ya Wakata viuno na wacheza ngoma ikapewa bil 100...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi na maisha ya Watanzania hatarini kwasababu ya Samia, Rostam na Kikwete

    Hawa wadau watatu ndiyo wametufikisha hapa na huko mbele wakibaki wataharibu uchumi wa TZ vibaya sana lazima Mama atolewe na kuwe na serikali ya mpito
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: CCM inalenga kuboresha maisha ya watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi katika kutekeleza mpango wa kuboresha maisha ya watu na ustawi wa jamii, kama ambavyo Ilani ya CCM...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Baadhi ya Walevi Hufanikiwa na Wengine Huangamia?: Pombe Ile Ile, Hatima Tofauti

    Makala hii inachambua uhalisia mgumu wa ulevi, ikionyesha kwamba pombe haifanyi kazi sawa kwa kila mtu. Watu wawili wanaweza kunywa pombe ile ile, lakini mmoja aendelee kustawi huku mwingine akiangamia. 1. Ulevi si Lazima Uwe na Kelele Wapo walevi wanaoonekana ‘safi’ kwa nje – wana kazi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

    Hii inaleta tafsiri gani? Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa. Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu. Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
  12. JamiiForums Tanzania Kesho Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2025/2026 inasomwa Bungeni; Je, itagusa maisha ya Watanzania au tutaletewa tozo mpya?

    Kesho ni siku muhimu sana kwa nchi yetu! Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/26 inasomwa bungeni, na kila mmoja anasubiri kwa hamu kujua nini kimejumuishwa. Hii inafuatia kauli ya Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inaamini Maisha ya Watanzania ni Kipaumbele kuliko kitu chochote!

    Wakuu Mmesikia hili la CCM kwa Wananchi? == Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewashukuru wana CCM kwa kuendelea kukiunga mkono cham hicho na ushiriano wanaoutoa katika utekelezaji wa ilani yake. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri & mapendekezo: Ili kuboresha uchumi wa nchi kuongeza ajira kwa vijana, ufanisi na kuboresha maisha ya watanzania serikali ifanye haya

    Najua haiwezi kuwa Rahisi Hivyo ila ili Kuboresha uchumi wa nchi, kuongeza ajira, ufanisi, na maisha ya Watanzania kunahitaji mkakati mpana unaohusisha sekta mbalimbali. Hapa kuna ushauri na mapendekezo kwa serikali Ambao kwangu Nimeona Unafaa na Nitakuwa naweza na Fedha kwa Makadirio ya Chini...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali yetu ibadili maisha ya wananchi wake

    Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake. Maisha yetu ni duni kwa sababu tu ya mipango yetu mibovu ambayo serikali yetu inafanya.Tasafu au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…