maisha ya ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini ktk maisha ya ndoa watoto wakishafanikiwa humjali mama yao kuliko baba yao?

    Sijui kwanini inakuwa hivi Hawa vijana wa siku hizi wakifanikiwa ktk maisha huanza kumuona mama ni bora kuliko baba ........ Wanasahau sisi wanaume ndo risk taker tunapambana usiku na mchana ili wao waje kuwa na maisha mazuri Lakini tukizeeka na watoto wamefanikiwa humjali mama yao zaidi ...
  2. Mwanaume Keep This in Mind: Mwanamke Anayejijua ni Mzuri Kwa Asilimia Kubwa ni GOGO Kitandani

    Mark my words, and mark them bloody well. Kamwe—nasema kamwe—usiruhusu macho yako yakakupeleka shimoni. Uzuri wa mwanamke ni kama tangazo la bidhaa kwenye runinga: linang’aa, linavutia, lakini mara nyingi ndani yake hakuna chochote cha maana. Ukifanya maamuzi kwa kutumia tamaa zako badala ya...
  3. Ingia kwenye ndoa pale unapokuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa

    Wapo baadhi wanaoingia kwenye ndoa kwa sababu flani amaeoa/kuolewa, yani hajui kwanini ameingia kwenye ndoa. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa kuvunjika kwa sababu mbalimbali kwa mfano, -Kijana anaamua kuoa lakini unakuta bado ana tabia za mvulana yani bado hawezi...
  4. Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  5. Kuishi na majirani kibongo bongo inahitaji uwe na moyo wa uvumilivu sana, haina tofauti na maisha ya ndoa

    Jirani wa kwanza yeye ana shamba lake la mahindi sasa mbwa wake amezaa akawa anasubiri nikienda kazini anakuja kumuazima wife kambwa changu kisa kanabweka anakachukua anaenda nacho shamba kwenda kulinda dhidi ya tumbili. Sijui kama huko anampa chakula au hampi ila jioni anamrudisha imagine mbwa...
  6. Mzee Magauni: Hauwezi kuwa na mke mmoja, kwani ni kama mama yako huyo?

    "Hauwezi kuwa na mke mmoja, kwani ni mama yako huyo?" Wakuu huu ni msimamo thabiti wa mzee wetu kipenzi, Mzee Magauni Monwa (72) mkazi wa kijiji cha ntatumbila huko kanda ya ziwa. Mwamba ana wake 14 watoto 103 na mimba tarajali mbili, watoto na vitukuu kama wote. Wakuu huyu mzee kwanini...
  7. Mke wako ni mzuri sana ni kwa vile tu umemzoea sana

    . Wanaume wenzangu Mke wako anawezaje kuonekana mbichi na mrembo kama mchepuko wako huyo na wakati umemzalisha watoto na amejifungua mara 5,Umempeleka leba (labour) mara 5 amenyonyesha kwa awamu 5 ya vizazi vitano vyenye umri tofauti tofauti, pamoja na Masumbufu ya kulea na kuhudumia watoto...
  8. Hamisi aliyemuua mke wake kisha kumchoma kwa mkaa aandika kitabu akiwa gerezani ambachoa anatamani kila mwanaume akisome

    Tunaomba maafisa magereza wamuwezeshe kukimalizia hiki kitabu kabla jamaa hajanyongwa. Pia soma > Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa
  9. Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

    Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi wanawezaje kuvumilia huu ujinga! Niko kitandani na huyu Binadamu , lakini ameninunia tangu jana...
  10. Mama zetu waliingia kwenye ndoa kama wasaidizi wa baba zetu ila dada zetu wanaingia kwenye ndoa na fantasies za Princess & Prince!

    Ni kwa kiasi gani mwanaume afanye ili mwanamke aoene hata inatosha amid dunia ilivyokuwa chungu, haijawahi kutosha kwa mwanamke, anaishi huku akiisemea nafsi yake kuwa kuna "kuna cha ziada zaidi, kuna cha ziada zaidi". Atleast mama zetu walipata mawazo haya ila walijipiga kofi ili...
  11. Maisha yangu ya ndoa ni tofauti na nilivyoyatarajia

    Kabla ya kuoa, nilidhani ndoa ni chanzo cha furaha na baraka. Nilitarajia amani na utulivu, lakini ukweli umekuwa tofauti kabisa. Nimegundua kwamba changamoto za ndoa zinaweza kukuletea presha kubwa, hasa unapokuwa na kipato cha chini. Kipato kidogo kimekuwa chanzo cha migogoro isiyoisha...
  12. Kwa dunia ya sasa, ni vigezo vitumike kumfahamu mke mwema?

    Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika. Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵 Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume kupunguza utegemezi...
  13. Serikali ikatae mambo ya kupima DNA. Inachangia kuongezeka kwa yatima

    Katika jamii yetu, ongezeko la watoto yatima na wanaokataliwa na baba zao limekuwa changamoto kubwa. Hali hii inawaumiza watoto wasio na hatia na kuathiri mustakabali wao. Niliguswa sana na tukio lililomkuta dada yangu, ambapo mume wake aliamua kupima DNA kwa watoto wake watatu na kugundua...
  14. C

    Je, mwanaume aweza kukaa miezi mitatu bila kukutana na mwenza wake?

    Wakuu Mimi si member mpya kama inavyojieleza ni mwenyeji haswa humu ndani. Ningependa kufahamishwa inawezekana mwanaume kukutana na mwenza wake mara tano tu ndani ya miezi mitatu ilhali mwalala kitanda kimoja kila siku? Au kuko na shida mahali?
  15. Miaka 30 ni Umri sahihi wa Kijana kuingia kwenye maisha ya Ndoa

    Yesu alianza utume wake rasmi baada ya kufikia umri wa miaka 30, kama inavyosema katika maandiko ya Biblia. Katika Injili ya Luka 3:23, inasema, "Yesu alipokuwa na umri wa miaka 30, alianzisha utume wake." Umri huu wa miaka 30 unahusishwa na kipindi cha ukomavu na utayari wa kutimiza dhamira kuu...
  16. B

    Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

    Dada wa watu anaomba ushauri Mwanadada na jamaa walikutana miaka saba iliyopita kwenye msiba wa baba yake mwanadada, alikuwa na maisha magumu sana Baada ya baba yake kufariki "jamaa akachukua yale majukumu provide all basic needs" basi jamaa akawa mfariji wake sana binti hadi wakapendana Jamaa...
  17. Mwanaume ni nini kifanyike ili kuweka uhusiano mzuri baina ya wazazi na wake zetu

    Salaam jamiiforum hope my wazima. Jamani maisha ndiyo haya haya,utake usitake bado utaishi kwenye mfumo wa maisha ya watu wengi. Ukijipata kidogo kimaisha ukawa na uwezo fulani basi umetengeneza vita na uhasama Leo niongelee hii kadhia ya wazazi kuhisi wana haki Kula matunda ya kijana wao...
  18. Mambo wanawake wanayohisi ni kweli kuhusu wanaume na kumbe ni kinyume chake

    Katika jamii ya sasa kumekuwa na mkaranganyiko wa kifikra kutokana na kukosekana kwa elimu na mifumo sahihi inayoweza kutanabaisha mahitaji sahihi ya jinsia moja kwenda nyingine. Mwanaume ameumbwa kwa namna ambayo inamtaka mwanamke awe na mwenendo wa aina fulani ili waweze kuelewana ama kwenda...
  19. Hivi mwanaume kamili unawezaje kuishi bila mke?

    Zamani nilivyokua naishi msela nilikua naona jambo la kawaida tu ila baada ya kuoa naona tabu sana kulala mwenyewe , yaani wife akisafiri siku tatu au wiki naona kama mwaka. Nishazoea kushtua na wife kabla sijalala sasa nikiwa mwenyewe napata tabu sana ingawa kuna siku nyingine sijiskii hamu ya...
  20. Maisha ya ndoa yana raha sana

    Sioni haja ya kuangalia dosari za ndoa,al muradi sie ni binadamu,karaha na shida zitatokea tu,lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa maisha ya ndoa yama raha sana,fikiria una mwenza wako kwa shida na raha,kila kitu mnafanya pamoja na hata kunyanduana mnagusanisha viungo vyenu mwa mwili,dah raha sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…