maisha ya dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar limenishinda kuishi. Wengine mnawezaje au mnajikaza?

    Ugonile, Ni muda kidogo (kwa zaidi ya miaka miwili) sikuwa Tanzania, ila nilirudi mwaka huu mwezi wa pili nikakaa Dar kidogo maisha yakanishinda, nikaamua kutimkia mkoani. Kabla ya kutimkia nchi za wenzetu riziki yangu nilikuwa naitaftia Kariakoo kwa zaidi ya miaka mitano, niseme tu ukweli...
  2. JamiiForums Tanzania Binafsi maisha ya Dar es salaam yamenishinda

    Kuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu. Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka mtoto akikulia vingunguti Tabata au mbagala kazi ipo. Suala la ajali ndo usiseme ajali za uzumbe kabisa...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Dar ni sehemu pekee Tanzania kila mtu hupambana na hali yake, hakuna presha ya matarajio ya jamii

    Ndio jiji pekee ambalo linakupa uhuru wa kupambana bila kelele nyingi na matarajio ya jamii za mikoani. Hakuna pressure ya kuwa na watoto au mke/mume, “focus zako” ni zako mwenyewe. Utaendelea kuishi geto huku unazikusanya hata ufike 45 hakuna mwenye time na wewe Mambo ya misiba ya kuhudhuria...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka niache kazi niende Dar es salaam kuendesha boda yangu

    Wakuu hamjambo?? Niende Moja kwa moja kwenye mada...Mimi nipo Kanda ya ziwa nilikuwa nafanya kazi sehemu kwa bahati nzuri nilijikusanya kwa mshahara wa 400,000 nikafanikiwa kununua pikipiki Nataka kuacha kazi hii ya ualimu niende Dar kuendesha boda hasa bolt...make naona kama nachelewa...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar wanaishi makazi duni sana

    Watu wa mikoani, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ndugu yako wa Dar anapiga chenga kila ukitaka kumtembelea? Ukiachana na chakula na gharama za Maisha, watu wengi wanaishi makazi duni sana hapa jijini. Kwanza salamu kwako mkuu, wale wana dalisalama watumishi wa umma na wengineo najua imekua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…