maisha magumu mtaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi maisha yamekuwa magumu mno Kwa mwananchi wa kawaida Kila kitu bei juu ili hali kipato kiko palepale

    Habari Wana jamvi..? Kiukweli hali ya maisha Kwa sasa imekuwa tete sana tulitegemea mafuta yangeshuka mwezi June Ili ipatikane nafuu lakini wapii ! mafisadi yamegoma kushusha mafuta. Ona mambo haya 1. Sehemu ya bodaboda ya elfu moja imekuwa elfu tatu 2. Vyakula vyote vimepanda bei Kwa 500...
  2. JamiiForums Tanzania Mtaa mgumu sana aisee

    Japo leo nimegonga ghorofa ya 3 net. ila naona mtaa siusomi kabisa na ni hali halisi pesa inayopatikana ni kulisha tumbo tu. Hata investments nazo anzisha ni pesa zinahitaji ili na zenyewe zilete pesa kama return on investments (ROI) ila dah Najikaribisha mtaani kwa mara nyingine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…