mahusiano na ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha

    Wakuu za sahizi Tuendee direct kwenye mada... Hapa chini ntaweka visa kadhaa nilivyoshuhudia na vingine nilivyokutana navyo kwenye harakati za maisha KISA CHA 1: CHA NDUGU YANGU WA MBALI - huyu ni mbibi wa miaka 57 tarehe x/7/2023 anatarajia kufunga ndoa mkoa x na muosha magari. Inaanza...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za kutafuta mwenza mwenyewe hazidumu kuliko zile walizokuwa wanatafutiwa?

    Habari wa JF, Leo nilikua mahali napiga story mbili tatu na pisi moja hivi mitaa ya stend. Tuliongea mengi then tukazama kwenye story za mapenzi, nikamuuliza, kwanini wapenzi wa kutafutana na kupendana hawadumu kwenye ndoa, tofauti na zamani ile unaambiwa huyu ni mke/mme wako? Mnaona ambao...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

    Assalamualaikum nnawatakia mifungo mema. Dear girl child kama una malengo ya kuolewa ukae ukijua mwanaume ni kiongozi wa familia aliumbwa yeye ikapita miaka 40 ndo ukatolewa ubavu wake akaumbwa mwanamke. Mungu fundi hakuna sababu ya kuumba sote wawili mmoja ametokana na mwenziwee awe msaidizi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mke wangu anamatumizi makubwa ya fedha yanayosababisha tuwe tunagombana sana

    Mimi nimeoa na naishi ya familia yangu, wote tumeajiriwa ila wife ndiye aliyenifuata mahali ninafanyia kazi. Tumegombana na huwa tunagombana mara Kwa mara shida kubwa mwenzangu Huwa anamatumizi makubwa kuzidi kipato chetu. Na mara nyingi nimekuwa nikimwelewesha anakuwa mbishi mpaka anakopa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume unapata wapi ujasiri wa kumuoa Mwanamke mrefu kukuzidi?

    Habarini wadau, Ramadhan Kareem to all Muslim in here...! Wewe ni mwanaume mfupi, Andunje, Nyadundo kama mimi, kwanini una kiherehere cha kuoa Mwanamke mrefu kukuzidi? Mwanamke akikuzidi urefu ni sawa na kukuzidi akili. Kwanza hata wenyewe hawatupendi Wanaume wafupi Huu ni utafiti rasmi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…