Habari zenu wana jukwaa poleni na harakati za mchana kutwa.
Nahitaji kujua namna haya mahindi ya kutengeneza bisi yanavyolimwa.
Hali ya hewa ya eneo, udongo ambao unarutubisha na mengine yote ambayo napaswa kiyazingatia kwenye kilimo hiki.
Na je kwa mikoa ya kusini MTWARA yanaweza kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.