My Take
πππππππππππ Hii ikitekelezwa itakuwa Kali ya mwaka.
=========
Maafisa wa Mongolia wamesisitizwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kuwa na "wajibu" wa kumkamata Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ikiwa atazuru nchi hiyo wiki ijayo.
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la BBC Swahili...