mahakama kuu tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    Jaji Mkuu Masaju: Mahakimu, Mungu hadhihakiwi nendeni mkaviishi viapo vyenu

    Mzee Masaju tangu amekuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, ameonyesha wazi apendezewi na baadhi ya mambo yanaendelea kwenye mahakama. Amekuwa akiwapa ukweli watendaji wote wa mahakama. Safi sana na kila la kheri kwenye kazi zako Licha wanaweza kujitokeza wanamtandao wakaanza kukuletea habari...
  2. DuaZaMama

    Mama Polepole afika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam

    Anna Mary ambaye ni Mama Mzazi wa Mwanasiasa Humphrey Polepole amefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam asubuhi hii ambako inatarajiwa kuanza kusikilizwa kwa maombi ya kesi juu ya kutekwa kwake maombi ambayo yalipelekwa na Wakili Peter Kibatala kuiomba Mahakama Kuu...
  3. Waufukweni

    GE2025 Wafuasi wa CHADEMA wasusa kusikiliza kesi ya Lissu baada ya wenzao kuzuiwa kuingia ndani ya Mahakamani

    Leo Polisi wanazuia watu kuingia ndani ya chumba cha mahakama, kusikiliza Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu, wakidai mahakama imejaa lakini ndani hali ni hii. Watu wametoka nje ya chumba cha mahakama kushinikiza watu waliozuiwa kuingia mahakamani waruhusiwe...
  4. Waufukweni

    GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  5. Waufukweni

    GE2025 Tundu Lissu: Nimechoka na ombi la ahirisho mara kwa mara, niko gerezani leo siku ya 97

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, Tundu Lissu, amesema "Leo ni siku ya 97 niko Mahabusu na wafungwa waliohukumiwa Kifo nimechoka na hizi habari" wakati akijitetea mwenyewe kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili muda mfupi baada ya Mawakili upande wa Jamhuri walipoomba...
Back
Top Bottom