Mahakama nchini Afrika Kusini imekataa ombi la familia ya aliyekuwa rais wa Zambia, Edgar Lungu, waliotaka kukata rufaa dhidi ya uamuzi uliomtaka azikwe nchini kwake. Lungu, aliyekuwa rais wa Zambia kuanzia mwaka 2015 hadi 2021, alifariki dunia mwezi Juni 2025 akiwa na umri wa miaka 68 katika...