Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe.
Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye.
Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.