Pesa ya Dhahabu kama kawaida itaenda kununua Magari ya kifahari kama kawaida ya serikali ya kifisadi.
Sehemu rahisi ya kuiba ni hii kwa kuagiza magari ya milioni 300 mpaka milioni 500 na madalali ambao ni viongozi wanapata magari na 10%.
Hakuna pesa hapa itaenda kwenye miradi ya maendeleo...