magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

    SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader "Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema umoja wa mataifa lazima iondoe haraka majeshi yake Lebanon, asema uwepo wao unasaidia kuimarisha magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameicharikia UN na kuitaka iondoe mara moja majeshi yake Lebanon akiashiria yamekuwa kikwazo kwenye operesheni za kijeshi dhidi ya magaidi hao. Netanyahu amemueleza Antonio Guterres Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa katika ujumbe wa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lawaonya wafanyakazi huduma za afya Lebanon kusini waache kutumia ambulance kwani hutumiwa na magaidi ya Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Tahadhari kwa wanaotumia magari ya kubebea wagonjwa almaarufu ambulance kumbe hutumiwa na magaidi ya Hezbollah! #Times of Israel In a separate post, Adraee reiterates an earlier call for health workers and medical teams in southern Lebanon to avoid using ambulances...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

    Wadau hamjamboni nyote? Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv Yasemekana mpango huo haramu.ambaomkama ungefanikiwa ungeleta madhara maafa makubwa walifadhiliwa na magaidi wa kundi hatari la...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Mnaita Hezbullah, Hamas kuwa ni Magaidi?

    Nimekuwa nikiona baadhi ya wanaJamiiForums wakiita hayo makundi ya wanamgambo kuwa ni magaidi. Je, wale ni Magaidi kweli?Je wanapigana kwa sababu gani? Na kwanini wanaipigania Palestina? Je katika makundi hayo yalishawai kushambulia nchi yoyote zaidi ya Israel? Kama hakuna kwanini waitwe...
  6. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel laua magaidi 560 wa Hezbollah

    Mpaka kufikia siku ya Jana jeshi la Israel lilishatokomeza magaidi wa HEZBOLLAH 560 tunaendelea kuwaombea wakristo wenzetu Israel waendelee kufuta magaidi kwenye uso wa dunia kifuatacho ni kuifanya Iran iwe majivu sababu ndio nchi inayoongozwa na magaidi endapo ikitokea gaidi kajificha Kwa raia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHEKI: Kwa hakika Magaidi ya Hezbollah yalijiandaa

    (Hii ni kambi Moja tu) (Na mlengwa alikuwa Israel) ( Iran na Hawa jamaa walikuwa na agenda ya kuiangamizi na kuifuta Israel) Israel ashukuru sana Mungu aliyempa akili za ziada na akaendelea kusimama naye. Hiyo mitambo imeshateketezwa sehemu kubwa sana kwa uwezo wa Israel.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mayahudi wa Iran walazimishwa na Serikali kuomboleza kifo cha hassan nasrallah kiongozi mkuu wa magaidi wa Hezbollah aliyeuawa na Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iranian Jews compelled to mourn Nasrallah's death amid oppressive climate Oct 1, 2024, 16:43 GMT+1 Updated Oct 2, 2024, 08:01 GMT+1 Jews in Iran are being pressured by the authorities to publicly mourn the death of Hezbollah...
  9. JamiiForums Tanzania Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

    ⚡️BREAKING: Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti. Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
  10. JamiiForums Tanzania Timeline ya harakati za magaidi wa hezbollah tangu kuundwa kwake

    1982: Hezbollah iliundwa 1983: Mlipuko wa lori la kujitoa mhanga katika Ubalozi wa Merika huko Beirut, 83 waliuawa. 1983: Mashambulio ya mabomu katika kambi za Wanamaji za Marekani na Ufaransa huko Beirut, 299 waliuawa. 1984: Kulipuliwa kwa mgahawa karibu na kituo cha Jeshi la Wanahewa la...
  11. JamiiForums Tanzania Israel ikishughulika na Magaidi Middle East, MODS shughulika waunga mkono wa JF

    Kwa kweli kazi anayoifanya Myahudi huko Middle East, kuwashughulikia kindakindaki kuanzia Iran anarudi Lebanon kisha Yemen. Kwa kweli kazi ni nzuri baraabaraa. Kwahiyo hata wale waunga mkono wa JF (ugaidi wa keyboard) Tunaomba waanze kushughulikwa na MODS sababu wamekuwa wanaongoza kutuma...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Makomandoo wa Israel wavamia na kulipua mahandaki ya magaidi wa Hezbollah mpakani mwa Israel na Lebanon, uvamizi kamili muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Makomandoo wa IDF wameanza kulipua mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hezbollah huko mpakani mwa Israel na Lebanon Ni maandalizi ya uvamizi kamili unaotarajiwa muda wowote kuanzia sasa. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Israeli troops have entered Hezbollah...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Watu milioni moja wakimbia makazi yao kufuatia mashambulizi makali ya Israel dhidi ya magaidi ya Hezbollah nchini Lebanon

    1 hr 53 min ago Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 1 million people displaced in Lebanon, prime minister says One million people in Lebanon have “moved from place to place in just a few days,” the country’s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
  14. JamiiForums Tanzania Magaidi wanaisha huko Lebanon. Hongera sana Israel kwa kazi nzuri

    Aisee huyu myahudi anatembeza kichapo mpaka Raha nimetoka kufuatilia hapa BBC News aisee magaidi yanaondolewa sio mchezo Mungu ibariki San Israel iendelee kutoa kichapo kwa haya magaidi na uzao wao wote Israel ni taifa teule viva Benjamin Netanyau wavaa kobazi hoi huko lebanon
  15. JamiiForums Tanzania Kiongozi mwingine wa Magaidi kafyekelewa mbali leo huko Beirut makao makuu ya Isbollah Lebano

    Wakuuu hizi ndio habari duniania Israel 🇮🇱 kupitia kikosi makini kabisa Imelipua makao makuu ya Isbollah mjini Beirut Lebanon 🇱🇧 Ikaenda na kichwa cha mkuu wao leo Huku Waziri mkuu mwenye akili kuliko wote duniani Benjamin Netanyahu Akiambia dunia Ukitupiga tunakupiga ,hakuna sehemu katka...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel

    Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...
  17. JamiiForums Tanzania Iran yalalamika kuhusu hii aina mpya ya mashambulizi ya Israel dhidi ya magaidi wa Hezbollah

    Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah.... ============================= Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack...
  18. JamiiForums Tanzania Israel imewarejesha enzi za ujima magaidi wa Hezbollah

    Hezbollah sasa hivi wamelazimishwa wasitumie tena simu za mkononi! Daah! Sasa wataishije?
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  20. JamiiForums Tanzania Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya mawasiliano (Pager) za Hezbollah kulipuka kwa mkupuo; Balozi wa Iran nchini Lebanon aripotiwa kujeruhiwa

    Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran. _----------+ Iranian ambassador Mojtaba Amani was reportedly injured in a Hezbollah explosion, according to state-owned...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…