mafuvu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Hivi wewe Jimmy mafuvu unashindana pole pole kwa nini usipambane na masha love.

    Nahisi watanzania tuna katabia ka kusahau ila internet itawakumbusha. Huyu mpuuzi ndio CCm inaweza kumpa hata msemaji wa nchi kuijibu USA. Kama mnakumbuka mafuvu alikuwa anatolewa povu na masha love eti leo anaweza kujibu mada za pole pole aisee . Hii nchi bwana
  2. M

    Je, hii video ni ya lini?

    Katika pita pita zangu kwenye magroup ya whatsapp nimekutana na hii clip ikizungumzia hali ya vyoo eneo maarufu kama mafuvu eneo la hifadhi ya Ngorongoro barabara ya kuelekea serengeti, Naomba kujua uhalisia wake, video ni ya lini na hali ipoje
Back
Top Bottom