mafuta ya urusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    US wameiteka meli ya mafuta ya Urusi

    Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya Kaskazini. Russia walijaribu kutuma Nyambizi na manowari kwenda kuilinda lakini hawakufanikiwa. US wanadai...
  2. State Propaganda

    Indonesia kuanza kununua mafuta ya Urusi yaliyowekewa vikwazo

    Bila ya kujali vikwazo vya marekani na washirika wake dhidi ya Urusi, taifa hilo lililopo barani Asia lenye uchumi mkubwa unaokua kwa kasi limetangaza uamuzi wake wa kununua nishati ya mafuta yenye gharama ndogo kutoka Urusi. Hii inadhiirisha hakuna tena mtu anayeogopa vikwazo vya kiuchumi...
Back
Top Bottom