mafanikio ya rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 GEITA, Mwenyekiti UVCCM: Kabla ya kuwapa nafasi hawa waongo tukayaseme mafanikio ya Rais Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita. Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 UVCCM kuandaa Kongamano Kuu kueleza Mafanikio ya Rais Samia

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Uhusiano wa Kimataifa vyuo na vyuo vikuu unatarajia kufanya kongamano kubwa litakaloshirikisha vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini ikiwa ni katika kuelezea mambo mbalimbali yaliyofanywa na rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne ya...
  3. J

    PreGE2025 Mkuu wa Wilaya Kinondoni: Tumepata mafanikio makubwa sekta zote chini ya Rais Samia

    DC KINONDONI: TUMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA SEKTA ZOTE CHINI YA RAIS SAMIA Akielezea jitihada zilizofanywa na Serikali ya awamu ya Sita, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amesema wamepata mafanikio makubwa katika sekta zote huku akipigilia msumari namna Rais Samia alivyopambana kuokoa...
  4. U

    Luhaga Mpina ni kweli unachukia ufisadi? huamini Samia ndiye Rais? Unakerwa na mafanikio ya Serikali yake? Naomba uwe muwazi!

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu sio kuwa namchukia Mheshimiwa Mpina au napingana na uhuru wa kutoa maoni. Nimeleta hoja hii ili nipate majibu kutoka kwake kutokana na kauli zinazoikosoa Serikali huku nyingi zikiashiria kuwepo kwa ufisadi ndani ya Serikali ya Rais Samia. Kwamba ni kweli...
Back
Top Bottom