madokta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    kuna haja ya kuwapima akili hawa watu wanaojiita madokta..haswa hawa madokta wa mtandaoni.

    Huyu dokta wa ajabu naye ithibati inabidi kumchukulia panga. Kama ni CCM basi mtakuwa kisiasa sasa. Mada za ajabu anazoleta sijui ukipiga msamba asubuhi na kipande cha ndizi mbivu kitambi kinatoka.
  2. Kalaga Baho Nongwa

    kutokwa na damu isiyokata toka 29/6 mpaka Leo imepungua Kasi Ila inatok kidogo kidogo

    Kwema? Kuna mmoja kati ya watu wangu wa karibu anasumbuliwa na hili hapa tatizo. Naombeni msaada wenu "Tatizo langu natokwa na damu isiyokata toka 29/6 mpka Leo imepungua Kasi Ila inatok kidogo kidogo..kabla sijaingia bridi nilikuwa natokwa na ute wenye harufu nikaend hospital nikapewa dawa...
  3. Secret Star

    Madokta mnacheza na maisha yetu?

    Wakuu najiuliza swali hapa, hivi miandiko ya Madoctor hadi leo imeshasababisha vifo vya watu wangapi kutokana na uzembe wa kutokuandika vizuri, Kila doctor mwandiko wake anaweza kuusoma yeye mwenyewe! Muda mwingine hata yeye mwenyewe anasahau ni kitu gani amekiandika! Kwa uzembe huu wa kurush...
  4. JembeNaNyundo

    Uganda analipwa mara nne ya mshahara wa Daktari wa Tanzania

    Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine? Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6. Kama mvivu kusoma...
Back
Top Bottom