madhalimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania John Heche awakumbusha Nachingwea mababu zao walivyowatenda madhalimu wa Uingereza

    Amewaambia Mwingereza alikimbia Nachingwea, nyinyi mnakwama wapi ??? Walilazimishwa kupanda karanga eti Ulaya wanahitaji mafuta ya karanga , wakaporwa ardhi zao, wakatandikwa kodi za mabanda wanayoishi including mabanda ya mbuzi, ya kila mke, kila kijana wako, na kulimishwa kama watumwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo wewe ni dhalimu kama madhalimu wengine.

    Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC. Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania? Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto. Usijifungamanishe na wana Arusha
  3. JamiiForums Tanzania SONG OF ANGELS kwa ajili ya Soka,Mdude na wote waliotekwa na madhalimu

    Song Of Angels [Ndi Mo Zi] kwa ajili yenu nyote mliofikiwa na mikono ya wadhalimu iliyojaa damu za watu. Damu zenu hazijaenda salama(bure) zitalipwa kwa maumivu makubwa. Ndimozi binigwe Anasi halleluyah Anasi halleluyah Jehovah meliwo omeliwo Ndimozi binigwe Anasi halleluyah Anasi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri wangu Kwa CHADEMA na Taasisi za KIDINI na Gen Z katika Kufanikisha Maandamano yanafanikiwa na kuwaondoa Hawa Madhalimu !!.

    Ni wazi safari imeanza Rasimi, Ndugu zangu Watanzania hii ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kuwaondoa Hawa wahuni !!. Wee Kijana Usiyekua na Ajira Wee mwenye Ajira lkn mishahara haiendan na hali ya Maisha. Wee unayehangaika na Usafiri Dar huku Abdul, Kijana wa Angela , Kijana wa DGIS, Vijana wa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  6. JamiiForums Tanzania Approach ya Rais Samia ya Tume ya Kuchunguza Haki Jinai haitawaacha madhalimu salama

    Wasalaam wana JF Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana. Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani. Mwenye Enzi Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…