madereva na makondakta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Madereva wa Daladala huku Daslam mna shida gani? Kwanini mna matusi sana barabarani?

    Hii hali imekuwa ikijitokeza mara kadhaa, kuanzia dereva hadi kondakta wamekua na utamaduni mbovu sana kwa kuonyesha namna walivyokosa maadili kwa kutumia lugha za matusi na maneno makali kwenye vyombo vyao vya usafiri bila kujali watu walio wapakia na wanajua fika kuwa watu wanaowapakia ni...
Back
Top Bottom