machumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Machumu: Rais Samia ameteuliwa kuwa kinara wa Umoja wa Afrika katika masuala ya Afya ya Uzazi Mama na Mtoto

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amezungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 16, 2026. Machumu amesema sehemu ya mafanikio ni Rais Samia kuteuliwa kuwa...
  2. Lissu aiomba Mahakama itupilie mbali Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima

    Wakili wa mshtakiwa Askofu Machumu Maximilian Kadutu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Jijini Dar es Salaam, Tundu Antipas Lissu ameiomba Mahakama itupilie mbali shauri la Kesi ya Uchochezi dhidi ya Askofu huyo kwa madai kuwa halina mashiko. Kwenye shauri hilo la jinai, Namba 19525, Mwaka 2024...
  3. PreGE2025 Singida: Baba Askofu Machumu akamatwa kwa Uchochezi

    Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi. Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu --- Jeshi la Polisi mkoani Singida usiku huu limemuita kwa mahojiani Askofu Maxmillian Machumu (Mwanamapinduzi) kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…