mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Reli ya Kisasa ya SGR yaleta mabadiliko katika sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria nchini Kenya

    Ikiwa ni zaidi ya miaka minne sasa tangu reli ya kisasa ya Mombasa-Nairobi nchini Kenya kuanza kutumika, sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria imepata mabadiliko makubwa na kusaidia ukuaji wa uchumi na ajira. Kufikia sasa, zaidi ya abiria milioni tano wamefaidika na uchukuzi wa bei nafuu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli kuwa ni kinara wa mabadiliko nchini

    VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa. Somo hilo lilipangwa lifundishwe kwa wanafunzi wa shule za awali hadi sekondari za juu...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga tumekosaje Ubingwa? Hongereni Watani, tumeona mabadiliko makubwa mliyoyafanya katika Soka lenu

    Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze kuhusu Vyama vya Ushirika na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania

    Tuzungumze kuhusu ushirika na kinachoendelea juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2013. tuzungumze juu ya Time ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania. Tuzungumze juu ya umuhimu wa Maafisa ushirika nchini, na je ni kwanini serikali haioni umuhimu wao? Pia kwanini Tume ya...
  5. JamiiForums Tanzania Sababu za wananchi kukosa matumaini ya mabadiliko kwenye utendaji wa haki chini ya Rais Samia

    I) POSITIVES Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi. 1. Kutotumia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hatua za mabadiliko ya Virusi vya Corona

    Hadi sasa, imegundulika kuwa virusi vya Corona vimepitia mabadiliko aina 5 Alpha: Aina hii ilitambulika kwa mara ya kwanza Nchini Uingereza kabla ya kusambaa kwingine Beta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 Nchini Afrika Kusini Gamma: Aina hii iligundulika Januari 2021 Nchini Japan baada ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yashuhudiwa kwa wanavijiji wa Xinjiang walioondolewa kwenye umasikini

    Nimeishi nchini China kwa miaka 13 sasa. China ni nyumbani kwetu kwa pili na ni nchi ambayo naipenda sana, nchi ambayo naishi, nafanya kazi na hata kumsomesha mwanangu. Kusema kweli najihisi mwenye bahati kuwepo hapa na kushuhudia mabadiliko ya kiwango kikubwa cha maendeleo ya kasi ya Wachina...
  8. JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro afanya mabadiliko madogo kwa Makamanda wa Polisi

  9. JamiiForums Tanzania Wanahabari wa Michezo wawahoji wapinga mabadiliko Yanga kama walivyokuwa wakifanya kwa Simba SC

    Habari Tanzania! Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na Watangazaji pamoja na Wachambuzi, kama haitoshi walikwenda mbali zaidi kudai Uwekezaji haifai na MO...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maisha haya kweli hakuna anayeijua kesho yake

    Nawaza na kuwazua sipati jibu. Ndani ya siku 100. Tanzania yametokea mambo ambayo sijui "_aliyekuwa na nchi akiamka atasemaje. Hebu ona hii orodha: 1) CHADEMA wameshinda kesi hivyo 350 miilion zirudishwe 2) Barakoa mpaka viunga vya ikulu 3) Sabaya yupo jela 4) Mdude kaachiwa 5) Kufundisha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais kuzuia mchakato wa mabadiliko ya Katiba ni kuvunja Sheria

    Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo. Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012. Katika sheria hii, hakuna mahali rais amepewa mamlaka ya kuzuia mchakato wa...
  12. JamiiForums Tanzania Job Ndugai anajisikiaje Tundu Lissu akilipwa stahiki zake?

    Habari za mchana huu wakuu, Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake. Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy kufanya mabadiliko kwa Watendaji wa Mamlaka za Serikali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu ameahidi kufanya mabadiliko makubwa kwa watendaji wa mamlaka za serikali za mitaa kutokana na kutoridhishwa na utendaji kazi wa baadhi ya watumishi na Wakuu wa Idara katika mamlaka hizo. Waziri Ummy...
  14. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria(sharia) za wanawake Saudia Arabia: Ushindi Mkubwa Kwa Wanawake hao

    SHARIA(SHERIA) ZINAZOWABANA WANAWAKE ZIMEBADILISHWA RASMI. **************************** Kwa kipindi kirefu wanawake nchini Saudi Arabia wamekuwa wakipambana ili kubadilika kwa sheria(sharia) ZINAZOWABANA kama ifuatavyo; 1)Kuzuiwa kuishi peke yao kwa walio na miaka zaidi ya 18 kabla ya kuolewa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga hawataki mabadiliko klabuni

    Wazee wa busara wanawasha moto hatari, kuna kikao kipo underway hapo utopoloni wale wazee ambao juzi walisema hawatapeleka team uwanjani kucheza na simba hawataki kusikia lolote kuhusu mabadiliko ya uendeshaji wa team hiyo. Binafsi nawaunga mkono sana, Yanga ni team ya wananchi inakuwaje iwekwe...
  16. JamiiForums Tanzania Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji ndani ya mikoa hiyo

    Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji wa kazi ndani ya mikoa yao na serikalini kwa ujumla Mheshimiwa mkuu wa Mkoa Albert Chalamila, mara kadhaa amekuwa ni mtu wa kutoa kauli tata sana kwa lugha nyepesi ni mropokaji, kwa nafasi yake kama mkuu wa mkoa sio busara sana kuwa mropokaji...
  17. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Katiba ya TFF

    Tarehe 18/07/2013 Uongozi wa Rais Leodegar Tenga na Katibu Mkuu Angetile Osiah kwenye Kanuni za Uchaguzi za 2013 waliongeza kipengele cha sifa za Mgombea Urais na Makamu wake kuwa na elimu ya angalau Degree ua Chuo Kikuu (University Degree) Kipengele cha 9(8). Kwenye mabadiliko ya Katiba...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi, na kujenga dunia yenye hatma ya pamoja ni msingi wa China katika kushughulikia suala la mazingira

    Kwenye mkutano wa baraza la Umoja wa Mataifa uliofanyika Septemba 2020, Rais Xi Jinping aliushangaza dunia kwa kutoa ahadi kuwa China itafikia kilele cha utoaji wa carbon mwaka 2030, na kuanzia hapo itapunguza kiwango hicho hadi kufikia 0 mwaka 2060. Wataalamu wanakubaliana kuwa China ni moja...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiyahudi walioteseka enzi za Holocaust, wajukuu zao leo ni wapiganaji

    Mateso ya mnyonge yanazaa shujaa, hii ndiyo dunia ilivyo.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…