mabadiliko ya kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nguvu ya Dijitali inavyosukuma kwa kasi kete ya mabadiliko ya kisiasa Barani Afrika

    Photo: fintechassociation.africa/ Kwa zaidi ya miongo miwili, tawala nyingi za mataifa mengi ya Afrika zimekuwa zikikabiliwa na lawama nzito kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa utawala bora, kuendelea kwa vitendo vya ufisadi na mifumo dhaifu ya uwajibikaji. Hali hii imekuwa ikitazamwa kama...
  2. Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha

    Usiyempenda kaja. --- Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo. Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
  3. Mabadiliko ya mifumo ya kisiasa huletwa na matajiri, usitegemee mwananchi wa kawaida kuondoa chama tawala madarakani

    Amjambo? Nimekua nikifuatilia hali ya kisiasa nimekuja na kitu,siku zote mapinduzi ya kisiasa ufanywa na watu wenye pesa usitegemee common mwananchi kusimamia jukumu ili kwa sababu mbili,kwanza hana resources za kumsaidia haki upande wa mahakama na pili hana kipato cha uhakika kuendesha familia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…