maandiko matakatifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu

    Ndoa au bila ndoa chini ya maandiko matakatifu Ndoa ni nini Ndoa ni mkataba unaofungwa katika kanuni timilifu za Mungu, alizozikusudia tangu mwanzo, kati ya nwanamume na mwanamke. Kifungu cha 1Wakorintho 7:28 cha maandiko 1Wakorintho 7:28: "Lakini, kama ukioa, huna hatia; wala mwanamwali...
  2. M

    Mapito ya Lissu na CHADEMA katika Lenzi ya Maandiko mtakatifu na harakati za kutafuta ukombozi

    Kama wengi mnavyoshuhudia yanayojiri nchini. Nchi yetu kwa sasa hivi ipo katika mapito magumu na makali kuelekea mabadiliko. Hapana shaka mabadiliko yanakuja na hakuna mtu wa kuyazuia maana huu ni wakati wake. Yeyote atakayejaribu kuyazuia yatamtupa pembeni au kumsaga tikitiki, maana hili ni...
  3. J

    Ukweli Kuhusu Wachache au Wengi Kwenda Mbinguni Ukoje

    Ukweli Kuhusu Wachache au Wengi Kwenda Mbinguni Ukoje Maandiko Katika Kitabu cha Luka Kitabu cha Luka 13:23-28, kinasema: 23 "Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, 24 Jitahidini kuingia katika MLANGO ULIO MWEMBAMBA, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi...
  4. U

    Aya ipi katika maandiko matakatifu inaharamisha au kuhalalisha ulaji wa kambale?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni wenye ilimu mtupe elimu
  5. RC Makonda kawakaanga baadhi ya maaskofu, mapadri na wachungaji wanategemea matamuko na nyaraka badala ya Mungu na maandiko matakatifu

    Hapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje? https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…