maandamano ya wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Responded Maandamano ya Wananchi wa Buza - Dar es Salaam "Tumechoka tunamhitaji mkuu wa mkoa aje tunateseka"

    https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha magari ya Daladala Kutoka stendi mpya iliyopo kwa Mama Kibonge hadi Stendi ya Buza kanisani...
  2. C

    Kwanini hadi sasa hakuna kauli kutoka CCM ya kukemea mauaji ya mamia ya wananchi siku ya maandamano?

    hiki ndicho chama kinacho jiita kinajali wananchi wake kweli? Mmeua mamia kwa maelfu lakini hadi sasa hakuna kiongozi yeyote wa CCM aliye toa pole au hata tamko au aliye lifariji taifa wala hata kuongelea hivyo vifo Sasa unajiuliza je? CCM hii ndiyo inayo jinadi kuwa na wananchi? Au wao...
  3. Tegemea sana hii miaka watu kujifunza sana aina za vilipuzi Kupitia YouTube au kosoma Google Kama watawala wasipochanga karata Vizuri Uoga Umetoka

    Watu ndugu waliopoteza wapendwa wao wengine kwenye maadamano na wengine wakitoka kujitafutia kitu cha kuweka tumboni wamepigwa risasi mfano watoto wa Shangazi yangu 😭😭...
  4. Sio kwamba mmeshinda Nguvu ya Umma hapana mmepewa nafasi ya Kujisahihisha na inaweza kua last Chance kazi kwenu

    Dunia kote hakuna serikali inaweza kushinda Nguvu ya Umma huo ndo mkweli mchungu. Mmepewa nafasi ya kujisahihisha nina imani mtaitumia vizuri mnaweza kubisha kwasababu ya kiburi cha madaraka ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…