maandamano tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Migomo kuelekea uchaguzi inahitajika, watarudi wenye maarifa na hekima

    Mpo salama bila shaka. Inapotokea migomo ya nyakati hizi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ni muhimu kuiendea kwa umakini. Wanasiasa wanaelewa nazungumzia nini. Watatuzi wa migomo lazima wawe na ujuzi, uwezo na hekima za kuongea mbele za Watu. Sio unachagua mtu asiye na...
  2. Rais Samia karuhusu watu kuandamana kwenye awamu yake. Mnaolialia kuhusu watanzania kutoandamna ni wapuuzi, anzisheni nyinyi hayo maandamano

    Kila mtu anajifanya kulalamika ooh watanzania waoga. Ooh watanzania hawajielewi. Ooh watanzania hawajui haki zao. Sababu tumeona Kenya vijana wanaandamana. Lakini hapa Tanzania Rais ameruhusu watu kuandamana, nyinyi mnaolalamika kuhusu watanzania nini kinawazuia kuanzisha hayo maandamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…