maandamano desemba 25

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Wajasiliamali Dar: Kuna watu wanatumia hasira za wananchi kama mtaji wa kuleta vurugu nchini

    Wakuu Wajasiliamali wa kada mbalimbali kutoka wilaya zote tano za Jiji la Dar es Salaam wamezungumza na waandishi wa habari leo, Desemba 24, kuhusu msimamo wao juu ya maandamano nchini. Akizungumza kwa niaba ya viongozi wenzake, Seleman Said Bane, aliyejitambulisha kuwa ni mjasiliamali wa...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Sheikh Pembe: Lengo lao lilikuwa ni nini mpaka waseme Waislam ndio wamefelisha maandamano Desemba 9?

    Sheikh Pembe, ametoa onyo kwa Waislam kuhusu maandamano ya Desemba 25, akisisitiza kuwa jamii inapaswa kutazama matokeo ya mwisho ya hatua yoyote badala ya kushawishika na mipango au kauli zinazotolewa mitandaoni. Akizungumza katika somo la siku, shekhe huyo amesema kuwa baada ya maandamano ya...
  3. PAYE

    PostGE2025 Kisa maandamano ya D25, Mitume na Manabii waitaka jamii kukataa kuinajisi Krismasi

    Rais wa Umoja wa Makanisa ya Kitume na Kinabii Tanzania Dkt. Nabii Joshua Aram Mwantyala ametoa wito kwa Wakristo nchini kujiepusha na matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya sikukuu za Krismasi 2026, akiwataka kuitumia sikukuu hiyo ya kuzaliwa kwa 'Mfalme wa amani' kutafakari na kuomba...
  4. Mto wa mbu

    Gen Z wanapanga maandamano mapya ya Januari 29

    Daa Hawa vijana hawapoi, Baada ya D9 kufeli Gen Z wamefanya analysis na kuchagua siku ya alhamis ya tarehe 29 January 2026 kuwa siku ya maandamano ya kudai haki. Wamechagua siku ya kazi, huu ni mtego kwa serikali maana maandamano siku ya kazi ni vigumu kuzuia movement za watu. Na maandamano...
Back
Top Bottom