maadui wa israel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Mkuu wa Majeshi wa Israel Eyal Zamir awaonya maadui wa Israel wanaotaka kuishambulia nchi yake

    Mkuu wa Wafanyakazi Eyal Zamir: "Tuko tayari kushambulia kwa nguvu kubwa katika eneo lolote na dhidi ya adui yeyote anayetishia usalama wa Taifa la Israeli." Ameongez salamu hizi ziwafikie Hamas, Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran.
  2. Echolima1

    Maadui wa Israel popote hawana usalama

    Maadui wa Israeli hawako salama popote. Kiongozi wa Namba 1 wa Hamas, Sinwar, aliangamizwa Gaza 🇵🇸. Kiongozi wa namba 2 wa Hamas, Haniyeh, aliangamizwa Iran 🇮🇷. Kiongozi nambari 1 wa Hezbollah, Nasrallah, aliondolewa nchini Lebanon 🇨🇦. Israeli itaendelea kuwawinda magaidi popote walipo!!
  3. W

    Israel ina-target zaidi maadui zake ili kupunguza casualities za raia wa kawaida. Rais wa Iran na kiongozi wa Hamas ni mifano

    Vikundi vya kigaidi kama Hamas hutumia raia wa kawaida kina mama na watoto kuwa ngao ili kuipa Israel wakati mgumu kwenye mashambulizi tofauti na wao wakipata hata nafasi ndogo ya kuingia Israel kama October 7 walilenga zaidi kuua raia yeyote lengo likiwa kuua waisrael wengi kadri iwezekanavyo...
Back
Top Bottom