maadili ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waliosaini Maadili ya Uchaguzi waanza kulia kilio cha Mayowe

    Hawa hapa Kingine unachopaswa kukumbuka ni hiki, Dkt Wilson Mahera aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi 2020 ni Mgombea Ubunge Jimbo la Butiama kwa tiketi ya CCM =========== Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama...
  2. Z

    GE2025 CHADEWA imejiondoa yenyewe kushiri uchaguzi Mkuu, haikuondolewa na tume wala Rais. Ilisusia kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi kwa kiburi tu

    Huwa nawashangaa sana kina Polepole na genge lake wakitoa matamko eti...inakuwaje Uchaguzi Mkuu ufanyike bila chadema...wakitaka kuwaaminisha watu kama vile Rais au Tume ndio imewazuia Chadema kushiriki, wanajisahaulisha kuwa Chadema wao wenyewe kwa maksudi na jeuri waliamua kutokushiriki...
  3. GE2025 Hotuba za Wanasiasa kwenye nyumba za Ibada zinadumisha amani na maadili ya Uchaguzi, au zinapotosha wapiga Kura na kuathiri uadilifu wa mchakato?

    Tanzania inakaribia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Joto la siasa limekuwa likipanda na kushuka, na majukwaa yanazidi kutafutwa, ikiwemo Nyumba za Ibada. Lakini je, hii ni sawa? Wanasiasa wanapohutubia kwenye Makanisa au Misikitini, wengine husema wanajenga maadili, amani na mshikamano. Lakini Je...
  4. GE2025 ZEC: Vyama Visivyosaini Maadili ya Uchaguzi Havitaruhusiwa Kufanya Kampeni

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema kuwa chama chochote cha siasa kitakachoshindwa kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi hakitaruhusiwa kufanya kampeni, ingawa kitapewa fursa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  5. PreGE2025 Kanuni za maadili ya uchaguzi zinatoa tafsiri yakutosha kuhusu utaratibu wa uchaguzi. Msimamo wa "No reforms, no elections" hauna mantiki

    Wanabodi, Harakati ya no reforms, no elections imepamba moto katika kipindi ambacho vyombo vya usalama vinaendelea kuwathibiti viongozi wa Chama cha demokrasia na maendeleo. Jitihada za viongozi hawa kuzuia uchaguzi zinaweza kuwaletea athari kubwa kwasababu harakati hii itahusisha ushawishi wa...
  6. J

    Hii kanuni ya 2.1 (h) ya maadili ya uchaguzi imekaaje.

    Wadau. Napitia kanuni za maadili zilizotolewa hivi karibuni baada ya kusainiwa na vyama 18, Tume na Serikali, nimeona kanuni ambayo kwangu inakanganya. Kanuni hii ni 2.1 kuhusu wajibu vyama.vya siasa na wagombea. Katika kipengele h ndio kuna huo mkangayiko niliona. Inasema; kuhakikisha kuwa...
  7. PreGE2025 Hizi hapa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025

    Wakuu, Naambatisha hapo chini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi za Mwaka 2025 wananchi tujue kweli zina maadili na waliosaini walikuwa na mwili wenye vichwa vinavyowasaidia kufikiria na kupembua vitu au ni kama alivyosema Heche kuwa Kanuni zenyewe hazina maadili! Pia soma Pre GE2025 - Kanuni za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…