m wekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Scared

    Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  2. Scared

    Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

    Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka wananimetea kiasi Fulani ambacho nataka kujua he hicho kiasi ndio kimejumuishwa na compound interest au ni...
  3. Scared

    Hivi mtu na akili zako timamu unawekezaje milion 10 Ili ikuletee faida ya elfu 99 m wekeza huu ni ukichaa

    Yaani mtu unaweka milion 10 Ili ikuletee elfu 99 Kwa mwezi hivi watu wa aina hii Kuna rafiki yangu anamiaka 30 anafanya huu ujinga hivi Hawa watu waga wamerogwa maana hii pesa ukiifanyia biashara unavuna mpunga wa maana sana Kila mwezi aisee embu vijana changamsheni akili acheni kuzubaa
  4. Scared

    Vodacom M-Wekeza kuna changamoto gani? Mbona hatuwaelewi tangu asubuhi hatupati huduma?

    Vodacom m wekeza vipi mbona hatuwaelewi tangia asubuhi hatupati access ya kuingia au ndio utapeli? Hili swala nashindwa kulielewa m wekeza tangia asubuhi wateja hatuwezi kuingia au ndio utapeli
Back
Top Bottom