Heri ya mwaka mpya wanafamilia ya jamii forum. Kwa wenye uzoefu na m-wekeza ya voda, mfano ukiwekeza let say Tsh. 10,000,000/= kwa miaka 10 kwa riba ya 13% kwa mwaka, je baada ya miaka 10 utaweza kupata kias cha Tsh. 33,945,673.899? Kama formula ya compound interest ilivyo? Au wao voda...
Mfuko wa uwekezaji wa pamoja
ni aina ya kampuni ambayo
inajishughulisha na uwekezaji ambapo kampuni inakusanya pesa
kutoka kwa wawekezaji wakubwa na wadogo na kuwekezwa kitaalamu chini ya uangalizi wa meneja wa kampuni hiyo,
Hizo fedha zinawekezwa maeneo ambayo yataleta faida,
Wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.