lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania imepata "Mbeba Maono " ambaye ni Lissu ila haijapata watembeza maono bado hawajapatikana

    KIROHO ili Familia isonge mbele , au nchi isonge mbele , huwa haitajiki MTU mwenye mali na fedha pekee Ila anahitajika mbeba maono. Ndo maana mmeona yule jamaa alikuwa na Mali hazina idadi , Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa na MAISHA. Issue huwa sio PESA wala dhahabu na mali Ila...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali hamishieni kesi ya Lissu hukohuko Gerezani Ukonga ijulikane moja

    Mimi si mpenzi wa mropokaji Lissu. Si mpenzi wa CHADEMA. Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli. Sasa tunaambiwa: -mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa - utangazaji wa kesi sasa ni siri -ushuhudiaji wa kesi ni wa vikwazo vingi Kero ya vyombo vya ulinzi na usalama eneo lote la Upenga...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchinjita: Ulikuwa ukisikiliza upande wa Mbowe, ni kama Lissu hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji

    Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa wakati wa kampeni za ndani ya CHADEMA za kumtafuta Mwenyekiti, taswira ya chama iliharibika sana kutokana na makundi ya ndani kushambuliana vikali. Ameeleza kuwa moja ya mambo yaliyoumiza zaidi ni namna kundi la Mbowe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uislam na mashahidi wa siri

    1. Mashahidi wa kujificha ni nini? Hii inamaanisha watu wanaotoa ushahidi kwa siri bila kujulikana wazi au bila kuwepo hadharani mbele ya kadhi (hakimu) au pande zinazohusika. 2. Msimamo wa Uislamu kuhusu ushahidi Katika Uislamu, ushahidi (shahada) ni jambo lenye masharti na adabu madhubuti...
  5. JamiiForums Tanzania Damu ya Tundu Lissu kuleta mabadiliko makubwa hapa Tanganyika

    Kila mtu anajua alishamwaga damu kwa kupigwa risasi zaidi ya 30. Leo hii kuna mpango anyongwe ... Damu ya Tundu Lissu italeta katiba mpya, italeta uhuru wa kisiasa na mabadiliko makubwa
  6. JamiiForums Tanzania Mimi ni miongoni wa watu ambao hatuna Amani moyoni yangia Lissu akamatwe naomba ikiwa unapitia hali kama yangu tuungane katika maombi ya pamoja

    Naomba TAL aachiwe haraka tupone mioyo yetu , kwakuwa hatulali tunawaza hatima ya Tanzania.
  7. JamiiForums Tanzania Lissu anabidi kupewa jina la Yusufu kwakuwa huyu Lissu ndo mbeba maono wa Tanzania Mpya

    Lissu ndo Mbeba maono wa Tanganyika . Kwahiyo tuendelee kumuombea bila kuchoka na nimempatia Jina la Yusufu.
  8. JamiiForums Tanzania Tazama vibe la Lissu wakati akitoka Mahakama ya Kisutu, leo Agosti 18, 2025

  9. JamiiForums Tanzania Agosti 18, 2025, UPDATES: Kesi ya Lissu ya Uhaini kuanza kusikilizwa Mahakama Kuu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kuwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu sasa inakwenda Mahakama Kuu. Mahakama imesema kuwa pande zote kwenye shauri hilo zitajuzwa na Msajili wa Mahakama kuhusu terehe itakayopangwa kwa ajili ya kuanza kusikilizwa ikiwa...
  10. JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM. CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri: Tundu Lissu gomea hiyo kesi ya mchongo ili waendelee na maamuzi yao ya mchongo

    Tundu Lissu nakushauri ugomee hiyo kesi ya mchongo yenye mashahidi wa mchongo. Fanya yafuatayo: 1. Kataa usijitetee, hata kama watakupeleka kizimbani kaa kimya. 2. Waelekeze mawakili wako wasikutetetee hiyo kesi. 3. Waache mawakili wa serikali na Jaji waamue wanachotaka. Fanya mambo haya matatu...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha kesi ya Lissu vipeleke maombi mahakamani

    Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani. Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"
  13. B

    JamiiForums Tanzania Lissu ana haja ipi ya kushirikiana na mahakama?

    Labda tuelimishane hapa. Ya nini kushirikiana na mahakama Hadi hapa tulipo? Looh! .
  14. E

    JamiiForums Tanzania Hakimu ana njama na Serikali kwenye kesi ya Lissu?

    Ni mjinga au anataka kutufanya wafuatiliaji wa Kesi kua Wajinga? Ndilo swali nimejiuliza kwa siku kama tano zilizopita. Inawezekanaje kila Tundu Lissu anapotoa hoja zenye mashiko hatoi maamuzi palepale mpaka akaelekezwe, kwanini hajiamini? Amepewa au kuahidiwa nini? Nasasa alitueleza kua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, sauti ya ukombozi wa kweli wa Nchi hii

    Mimi naamini kuwa Tundu Lissu amebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Kutokana na imani hiyo, naamini pia kwamba ikiwa tutamwacha Tundu Lissu aendelee kupambana yeye mwenyewe kana kwamba anatafuta ukombozi wa familia yake tu, siku zinakuja Mungu atatupeleka utumwani. Utumwa huo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  17. JamiiForums Tanzania Samia kumuachia Lissu kama inavyoongelewa. Somo hili ni ushahidi

    Habari za Jumapili. Inavyoonekana Samia anatamani sana kumuachia Lissu kama mfalme Sedekia alivyotamani kumuachia Nabii Yeremia, ila kuhofia ushawishi wa watesi. Kama Pilato alivyotamani kumuachia Yesu ila nguvu ya watesi (wahuni) ikawa kubwa. Na kuachiwa kwake kutakuwa ni jambo la kihistoria...
  18. JamiiForums Tanzania Nani adui wa CHADEMA - Freeman Mbowe au Tundu Lissu!?

    Kwa kauli hizi mbili tutajua tu nani ni adui wa Chadema,tulisikia mengi mara Magufuli kaiua Chadema,mara Magufuli kamteka Saanane,mara Magufuli kampiga risasi Tundu Lissu,sasa kwa kauli hizi ebu tafakari,nani ni adui wa Chadema!? Mbowe "Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mwana CCM sipendi Lissu kuwa gerezani

    Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni. Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu...
  20. JamiiForums Tanzania Kiukweli mimi kama Mshauri wa Lissu najua anaenda kuwa huru muda mfupi ujao ila nakuomba chochonde achana na habari za kumpambania watu wajinga

    Lissu achana na kuwapambania Wabantu waswahili . Hawa watu watakuchosha bure waache wawndelelee kunyonywa na waendelee kutumikia Simba na Yanga na kuibua misemo ya kijinga Kama Sasamba .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…