lissu kisutu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Mapingamizi dhidi ya Tundu Lissu kuunganishwa katika Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA yatupiliwa mbali na Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeyatupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Said Issa Mohammed na wenzake kupinga Lissu kuunganishwa katika Kesi ya Mgawanyo wa Mali inayowakabili Katibu Mkuu wa CHADEMA na Bodi ya Wadhamini. Soma Walioishtaki CHADEMA waweka pingamizi...
  2. Waufukweni

    PreGE2025 Waandishi wa Habari watolewa nje ya chumba cha Mahakama kunakosikilizwa kesi ya Tundu Lissu Kisutu

    Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia, waandishi wa habari waliokuwepo walitakiwa kutoka nje ya ukumbi ili wasipige picha wakati Lissu akiingia...
  3. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Wakenya (Martha Karua na wenzake) waliokuja Tanzania kushuhudia kesi ya Lissu warudishwa wakiwa uwanja wa ndege Dar

    Waziri wa zamani wa Sheria nchini Kenya, Martha Karua, ameeleza masikitiko yake baada ya kuzuiwa kuingia nchini Tanzania akiwa na watetezi wengine wa haki za binadamu na mawakili wenzake, Lynn Ngugi na Gloria Kimani. Kupitia ujumbe alioweka kwenye mitandao ya kijamii siku ya Jumapili asubuhi...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Boniface Jacob: Chadema itagharamia gharama za Wafuasi waliojeruhiwa Kisutu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boni Yai, amesema wanachama na makada waliojeruhiwa wakiwa viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, watagharamiwa matibabu yao. Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chadema...
Back
Top Bottom