ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Leo tunamaliza malumbano kuhusu upangaji wa matokeo katika ligi ya NBC

    Yanga waliangalia ratiba ya ligi wakaona muda sahihi wa harusi ya Aziz Ki na Hamisa Mobetto ni huu ndiyo wakabariki hili zoezi zima linaloendelea. Wachezaji wa Yanga wamekuwa kwenye pilikapilika za shughuli za hii harusi zaidi ya wiki moja sasa ila cha ajabu wakiingia uwanjani wao ndiyo wana...
  2. JamiiForums Tanzania EPL: Golikipa wa Man City, Ederson afikisha assist ya tatu ya msimu katika ligi hiyo sawa na Odegaard wa Arsenal

    Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL. Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku akilingana na baadhi ya wachezaji wanaocheza ndani. Kipa Ederson, analinganaa na kiungo hatari na...
  3. JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho Simba kutwaa ubingwa wa Ligi hali ilikuwa hivi

    Mara ya Mwisho 5imba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mambo yalikuwa hivi -; 1.Laizer alikuwa na jiwe la Tanzanite, amelificha mahali anasubiri kuuza 2.Magufuli alikuwa mgombea Urais CCM 3.Zuchu alikuwa hajajiunga Wasafi 4.Mwana FA alikuwa hajaingia kwenye siasa 5.Billnas alikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini ikifika valentine na mfungo ni kama ligi mpya za ndoa

    Hii miezi ni kipindi cha mapenzi mubashara na wapenda dini sana kuingia kwenye ndoa.
  5. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Sokoine - Mbeya unaotumiwa na KenGold ni mbovu hauna hadhi ya Ligi Kuu

    Tangu msimu huu wa Ligi uanze, Kwa kiasi kikubwa bodi ya Ligi na vilabu vimejitahidi kuboresha viwanja na kuvifanya walau kuwa na hadhi. Ila pamoja na yote kuna baadhi ya viwanja ni aibu TUPU kwa Ligi namba sita kwa ubora barani Afrika. Huu uwanja wa Sokoine unaotumiwa na KenGold ni kama shamba...
  6. JamiiForums Tanzania GSM ipewe vilabu vyote kudhamini ili Yanga iwe team bora katika Ligi

    Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa. Mi nashauri ili tuendeleze ule ushindi wa 4,5,6 basi GSM apewe teams zote kudhamini. Maana kwenye huu umoja wa teams...
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye Eng. Hersi ameamua kuivua Yanga ubingwa wa ligi kuu

    Mpira una njia na taratibu zake, hakuna maajabu yanayoweza kutokea tena baada ya uongozi wa Yanga kurudia kosa kwa mara ya pili mfululizo. Timu ilifanyiwa mabadiliko ya benchi la ufundi kwa kuja Ramovic, timu ili struggle kwa mechi kadhaa ila ikaja kutulia baadae, bahati nzuri mechi za klabu...
  8. JamiiForums Tanzania FT: KMC 2-0 Singida BS; KMC Complex, Ligi Kuu ya NBC

    FT KMC 2-0 Singida BS Ikumbukwe pia jana Azam alipigika kwa Pamba Jiji
  9. JamiiForums Tanzania Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

    Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema, "Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki...
  10. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

    Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus. Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na...
  11. JamiiForums Tanzania Je mechi za ligi kuu ya NBC zinapangwa?

    Kuna harufu ya upangaji wa matokeo ligi kuu ya NBC Huyu aliwezaje kubet droo na kuweka peaa nyingi hivi?
  12. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa usajili wa mpanzu ndiyo hasara kubwa kuliko yote ligi kuu

    I salute you kinsmen Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba. Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wakati Arsenal na Man city zimecheza mechi 23 za ligi, Zote Zina penalties 2 tu, Simba mechi 16 penalties 8..Tafakarini

    Tuweke Ushabiki kando. Hii ligi yetu inaelekea wapi. Timu za Arsenal na Manchester City tunazozifahamu wengi wetu. Ni timu zilizo kwny nafasi za juu kwenye ligi ya Uingereza. Ni timu zilizo na falsafa ya kuchezea na kumiliki mpira wakati mwingi. Sasa Inakuwaje timu hizo hadi leo hii zimepewa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mchezaji Mtanzania, Mnyakyusa anayecheza Ligi Kuu Italy akichezea Napoli

    André-Frank Zambo Anguissa (ANGWISA) Nimeukumbuka huu wimbo wa muimbaji mmoja aliimba alikuwa anasema Angwisa....na huyu mchezaji naona kabisa ni mnyaki sijui wa Kyela,Tukuyu au Mbozi. Mi sijui. Hawa ndo mngewarudisha na kuwapa uraia. Zamani naambiwa alikuwapo mnaijeria mmoja wa Kinyakyusa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yanga yatinga robo fainali ligi ya mabingwa kwa kuichabanga Copo mabao 5 0

    Mwaka huu msipobeba ubingwa hambebi tena, soka mliloonesha leo kwa Copo sio la kawaida, mbarikiwe sana wanaume nyie. Ndio maana sikushangaa Kamwe kwenda Morocco kwenye droo, tuombe mungu mpangiwe vibonde wenu Simba muingie nusu fainal. Kwa ushindi wa Leo Yanga wameipita Simba kwenye ranks za...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Timu iliyoshika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita ndiyo imebaki kimataifa

    Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF. Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam. Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
  18. W

    JamiiForums Tanzania Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  19. JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga asema ligi ya Tanzania ni dhaifu ndio maana Yanga wametolewa

    Sead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki w
  20. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    Gusa. Achia. Twenda kwao. Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi. Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali. Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…