ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Timu iliyoshika nafasi ya tatu Ligi Kuu msimu uliopita ndiyo imebaki kimataifa

    Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyobaki kwenye mashindano ya CAF. Msimu uliopita Simba ilishika nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu ya Tanzania nyuma ya Yanga na Azam. Jee Simba inahujumiwa kwenye Ligi au kimataifa huwa inabahatisha tu?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  3. JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga asema ligi ya Tanzania ni dhaifu ndio maana Yanga wametolewa

    Sead,(Said)Ramovic kocha wa Yanga anazidi kututibua mashabiki w
  4. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    Gusa. Achia. Twenda kwao. Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi. Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali. Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
  5. JamiiForums Tanzania AzamTv kama wanaweza kuwekeza kwenye ligi ya kenya watakula bingo

    Wakenya hawana kitu cha kuwashughulisha sana,tabaka la chini la Kenya wanaipenda sana ligi yao ila hawana support. AzamTv wakiwekeza mpunga kwenye ligi ya kenya hasa wakiweza kuproduce live,pia wastream kwenye app yao kwa kushirikiana na media za kenya atapata pesa bila ya kua na king’amuzi...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya Serie A na la Liga ipi ligi Bora

    Naombeni majibu yenu wakuu, Hizi ligi mbili nilizozitaja ipi ni Bora na yenye ushindani maana kuna ubishani hapa Baa Leo mpaka watu wanataka kupigana Yani mwaka mpya wanataka kuanza na majanga kwakua JamiiForums ni kisima Cha maarifa nikaona nilete huu mzozo umu Ili mnifafanulie
  7. JamiiForums Tanzania Ligi kuu kuendelea kuanzia mwezi wa tatu

    Wakuu ligi kuu Tanzania bara imesimamishwa hadi mwezi wa 3 na bodi ya ligi, sababu ikiwa ni kupitisha Mapinduzi Cup na CHAN. Naona kwa sisi wadau wanaopenda ligi kuu hawajatutendea haki.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ligi yetu ingekuwa ni ya haki kuna muda Simba na Yanga zisingeongoza ligi

    Nikifuatilia ligi kuu ya Uingereza naona matimu makubwa kama Man utd, Chelsea, Man City , Arsenal nk yanavyoteseka bila kujali ukubwa wao kwa wingi wa Mashabiki na Fedha . NImegundua wenzetu wa Ulaya HAKUNA MAELEKEZO KWA MAREFA KUWA MECHI HII LAZIMA FULANI ASHINDE WENZETU WAMENYOOKA SANA...
  9. JamiiForums Tanzania "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  10. JamiiForums Tanzania Nashauri ligi ya NBC iondolewe kwenye kampuni za betting

    Marefa wanabet, Wachezaji wanabet, Viongozi wa timu wanabet, mashabiki wanabet. Ligi inaelekea kukosa mvuto. Magoli yanafungwa marahisi, waamuzi wana makosa ya wazi, mabeki na makipa ni kama wana maelekezo. Cheki mechi kama ya jana ya Yanga, utagundua makosa mengi kuanzia kwa marefa, kipa...
  11. JamiiForums Tanzania Okwi atimiza miaka 32, ni mmoja ya wachezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi kuu nchini

    Njooni tumpongeze na kumtakia heri na fanaka Emanuel Arnold Okwi kwa kutimiza miaka 32 juzi. Huyu ni mmoja ya wachezaji bora kabisa wa kigeni kuwahi kucheza ligi yetu
  12. JamiiForums Tanzania Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

    Great thinkers. Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania. Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inarudi kwa kasi ya Kimondo: Hivi punde zile kelele za GSM anaharibu Ligi zitarudi, wanautwanga si mchezo!

    Naona kabisa kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu, hawawezi kusema lakini wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya Yanga hii inayorudi kwa kasi ya kimondo! Yanga wanautwanga, wanakasi, wanagusa, wanaachia, wanakuja kwako. Ni mabadiliko makubwa ambayo kocha Ramovich ameanza kuyaonyesha. Timu...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga Ya ligi kuu vs Yanga ya kimataifa

    Yanga inavyocheza ligi kuu unaiona yanga Bora sana. Nimara chache wanapata matokeo dhaifu lakini ukweli ni kuwa Yanga ndio wafalme wa ligi kuu kwa misimu ya hivi karibuni. Tatizo ni pale inapocheza kimataifa hasa msimu huu wa mashindano. Kulikoni Yanga?
  16. JamiiForums Tanzania JKT Tanzania, TAKUKURU na Bodi ya Ligi ichunguze bank account na kumhoji mchezaji Mohamed Bakari

    Winga Mohamed Bakari aliingia dk66 kuchukua nafasi ya Shiza Kichuya, dk77 alioneshwa kadi ya njano ya kizembe ambayo inashangaza na kama haitoshi dk90+3 akafanya uzembe kwa kumvuta Shomari Kapombe ambaye hakuwa na mpira wala hatari yoyote, jambo lililopelekea penati na timu yake kufungwa. Ni...
  17. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

    Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mpanzu ataanza lini kucheza mechi la ligi? Kwann hajaanza hadi sasa?

    Viongozi wa Simba wamewafanyia mashabiki wao maigizo kama ya yule mchezazji waliyemleta mpk kwenye mkutano wa uchaguzi halafu akatoweka?
  19. JamiiForums Tanzania Manchester United ndiyo umefanya watanzanIa waache kuangalia ligi ya Uingereza

    Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio. Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania. Lakini baada ya kuondoka Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Coastal Union imevunja mkataba na Ley Matamp aliyekuwa golikipa bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24

    Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili. Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…