ligi ya epl

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kinumbo

    Tupia top 4 yako EPL kwa msimu wa 2025/26

    Kuelekea msimu mpya wa ligi pedwa na maarufu duniani EPL pale Uingereza inayo tarajia kuanza kutimua vumbi siku ya Ijumaa tarehe 15, Agosti 2025 hii ndio top 4 yangu. 1. Chelsea 2. Liverpool 3. Arsenal 4. Man City Tipia na yako tuone, karibu.
  2. Labani og

    Massanza: GSM amefanya ligi yetu kuwa kama EPL

    [emoji625]"Hii ndio moja ya faida ya timu zote kupata udhamini mnono. Ushindani unakuwa juu sana, Hata intensity ya Ligi yetu inazidi kupanda kila siku, GSM ameongeza thamani ya Ligi yetu. NBC Premier League imeshaanza kufanana na EPL. [emoji625]Anafungwa yeyote mahali popote." "Hongera sana...
Back
Top Bottom