ligi kuu bara

The Tanzania Mainland Premier League (Swahili: Ligi Kuu Tanzania Bara) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. The league was formed in 1965 as the "National League". Its name was later changed to the "First Division Soccer League", and to the "Premier League" in 1997.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Kila kitu Zanzibar now. Mchezo wa Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba kuchezwa huko

    Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka. Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe. Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao. Hayo ya...
  2. Almas Kasongo: Mashindano ya CHAN yatavuruga ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi

    Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya mabadiliko ya ratiba ili kwenda sawa na ushiriki wa mashindano ya CHAN. “Tumepokea hiyo ratiba ya Chan...
  3. Azam yabanwa mbavu na PAMBA JIJI yatoa sare chamanzi

    Teh! Wameshindwa kuifunga pamba Jiji, walichoambulia ni Red card. Niliwaambia Azam FC kuna magarasa, Soma Pia Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy Pia Pamba jiji ipo vizuri mkabisha haya sasa Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu...
  4. Full Time | KMC FC 1 - 1 | Coastal Union| Ligi Kuu NBC| KMC Complex|29 Agosti, 2024

    KMC FC wakiwa katika dimba lao la nyumbani wamekubali kuvutwa shati na Coastal Union ya Tanga kwa kutoka sare ya 1-1. Timu zote hizi mbili ni mchezo wao wa kwanza katika msimu huu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC. Goli la KMC limefungwa na Ibrahim Elias…. Dakika 32, goli la Coasta Union...
  5. Afrika sijaona timu ya kuifunga Yanga SC

    Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu. Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje. Hapa chini...
  6. Kwa sasa sijaona klabu yoyote ile ya kuifunga Yanga SC ukandaa huu wa Afrika Mashariki na Kati

    Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati klabu bora zaidi kwa sasa ni Yanga SC, ukubali ukatae ila huu ndio ukweli mchungu. Binafsi sijaona klabu inayo weza kupambana na Yanga uwanjani ikatoka na matokeo chanya. Mimi sio shabiki wala mwanachama wa klabu ya Yanga SC wala katika maisha yangu mpaka...
  7. Nimeuelewa ukuta wa JKT unatisha, yeyote akae mguu sawa

    Kama kawaida kama dawa. Hii timu ya JKT ina beki imara nimetizama kwa jicho la mpira, vijwna wanautulivu wa hali ya juu kuanzia kipa beki mpaka viungo. Hawabutui hovyo wala hawafanyi makosa mepesi. Kuna muunganiko nyuma na kati kati. Ni kama vile kwa mbaali nilidhani ni ukuta wa Yanga...
  8. John Bocco kwa umri wako wa miaka 35, ukivunjika kupona nchini ni ngumu, timu yako haiwezi kukupeleka nje ya nchi kutibiwa, ungepumzika tu

    Simba waliamua kukupa kazi ili ustaafu kwa heshima ila ukaikataa hiyo heshima. Passport yako inasoma izaliwa 1989 si ajabu kiuhalisia ni 1984, ninavyojua mimi miaka 40 uliyonayo ukipata serious injury huwezi kupona kwa hospitali zetu,timu yako ya sasa haina uwezo wa kukupeleka nje ya nchi...
  9. L

    Mambo 15 niliyoyaona Simba ikiiangamiza Fountain Gate leo

    1. Kipa wa Simba ana utulivu sana ni moja ya makipa bora kabisa ambao Simba msimu huu tunajivunia 2.Abdulrazak Hamza nimewaona akina Costa, Deo Njohole, Nico Bambaga wakati fulani akicheza namba nne, hata marehemu Method Mogella, Juma Limonga, Fikiri Magoso, Godwin Aswile, Mustafa Hoza, Juma...
  10. L

    Bodi ya Ligi tunaomba Simba awe anacheza mara 2 kwa wiki ili kutuondoa kwenye upweke wa burudani

    Naiona mbali sana kesho dhidi ya Fountain Gate sijuwi golini atakaa nani, mbavu za kulia na kushoto atakuwa nani, mabeki kesho ni nani, nani atacheza na Che Malone baina ya Chamou na Hamza, je kesho viungo ni nani, Ngoma au Kagoma au Okajepha, pembeni kesho yuko nani, Balua na Chasambi au Kibu...
  11. Utabiri: Simba ikifungwa na Yanga itamtimua kocha Fadlu Davis

    Ikitokea Club ya Simba SC kufungwa na Yanga basi naona kabisa itafikia makubaliano ya kuachana na kocha wao Raia wa Afrika Kusini Fadlu Davis. Baada ya Simba kukandwa....kula chuma 6_0 Sorry nafanya mazoezi ya kupost hii taarifa mwezi ujao]
  12. L

    Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba

    Aziz Ki aliposajiliwa Yanga alikuwa akifanya mambo ya hovyo kabisa uwanjani hadi wachambuzi wakawa wanaeleza hasara za kiuhasibu kwa kumsajili kiungo huyo hatari kwa sasa hapa nchini, wengi walimdharau na kumponda kuwa hana uwezo na auzwe, Aziz Ki alikuwa anahitaji kuzoea mazingira ya soka na...
  13. Tujikumbushe historia ya 1987 ,1988 na 1989 katika ligi ya Tanzania,msimu ambao Simba ilinusurika kushuka daraja

    Tuanze kuigusa SIMBA SPORTS CLUB ambayo ilipitia historia mbaya iliandikwa mwaka 1987, na mwaka 1988 pia mwaka 1989 kwani katika miaka hii mitatu Simba iliponea chupuchupu kuteremka Daraja kutoka Ligi daraja la kwanza ( kwasasa ni Ligi Kuu) kwenda daraja la pili. Tuanzie mwaka 1987 Ambapo...
  14. Simba haina udhamini wa GSM lakini imefungwa na Yanga pia, hii ikoje?

    Ni mjinga pekee ambae anashindwa kujua ubora wa Yanga kipindi hiki. Kuna watu wanaodhani kuwa GSM kudhamini timu 6 kwenye ligi ni vibaya, kutainufaisha Yanga. Huku ni kupenda timu yako bila kupenda mpira wenyewe. Simba, Azam, KMC, Mashujaa, zimefungwa na Yanga ingawa hazina udhamini wa GSM...
  15. Ufunguzi Ligi Kuu Bara 2024/25: Pamba Jiji vs Prisons, Agosti 16, 2024, Saa 10:00 Jioni

    Agosti 16, 2024 Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni Agosti 17, 2024 Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku Agosti 18, 2024 Kengold FC vs Singida BS 8:00 Mchana Simba vs Tabora United 11:15 Jioni
  16. Pazia la ligi kuu ya NBC kufunguliwa leo 16 Agost, 2024

    Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC premier league kuanza kutimua Vumbi hii leo Agosti 16 2024 ambapo mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2024/25 unapigwa leo kati Ya Pamba Jiji Fc 🆚️ Tanzania Prisons
  17. Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

    Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi kidogo sana. Mfano nimzungumzie namba 3 yao ,yule Boka dah lile jamaa refu,lina control,spidi na lina...
  18. Kanuni Mpya Ligi Kuu Timu ikisajili mchezaji wa Kigeni atalipiwa ada ya Milioni Nane TFF

    Mchezaji yeyote wa Kigeni anayesajiliwa katika Ligi Kuu atalipiwa ada maalum ya Sh. 8,000,000 (milioni nane) kwa msimu ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza. Kwa wacheaji 12 ni Sawa na 96M, ni pungufu kidogo na pesa anayopata mshindi wa Ligi ya NBC. CHAMBUA
  19. Inawezekana tukawa tumenunua VAR kwaajili ya urembo

    Miezi kadhaa nyuma tulisikia taarifa za ujio wa VAR kwa Tanzania kwaajili ya kuboresha ligi yetu katika kusaidia utoaji wa maamuzi yenye utata uwanjani. Nimeshangazwa sana kwa kutokuona waamuzi watakaokuwepo kwenye chumba cha VAR siku ya tarehe 8 kati ya Simba dhidi ya Yanga. VAR ilipaswa...
  20. Ujio wa VAR ligi yetu ya NBC inakwenda kushika nafasi za juu zaidi Afrika na Duniani

    Siku ya jana tulishuhudia. Siku maalum ya kuonesha vifaa vipya na vya kisasa vya kurushia matangazo ya mpira. Kutoka Azam tv sambamba na hilo tukathibitishiwa rasmi matumizi ya VAR kwenye ligi yetu kuanzia msimu ujao wa 2024/2025 hakika hili ni jambo ambalo kwa upande wangu litaenda kuikuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…