lemburus mchome

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 CHADEMA yamvua Uongozi Lemburus Mchome

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimemvua uongozi mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Lemburus Mchome leo Jumamosi, Mei 17, 2025. Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Ndonde Tottinan amethibitisha kuvuliwa uongozi wa Mchome katika...
Back
Top Bottom