lembrus mchome

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Adam Francis

    Je, Lembrus Mchome na Monalisa Ndala bado ni wanachama wa CHADEMA na ACT?

    Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao. Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa. Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili...
  2. McLaren

    GE2025 Lembrus Mchome: Nimemshauri sana Heche lakini hashauriki. Viongozi wengi wamejaa ghilba , viburi na jeuri

    Wakuu Akiwa anazungumza leo kwenye mahojiano aliyoyafanya wakiwa kwenye mkutano mkuu wa CHAUMMA, Lembrus Mchome amesema kuwa amejaribu sana kumshauri Heche lakini kiongozi huyo hashauriki
  3. Waufukweni

    GE2025 Mwakilishi wa CHADEMA, Mchome aibukia kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA

    Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
  4. Just Pray

    PreGE2025 Lembruce Mchome licha ya kuonekana mkutano wa CHAUMMA, asema bado ni Mwenyekiti CHADEMA adai, Akidi haikutimia kumvua uanachama

    Wakuu Lembruce Mchome, anasema yeye ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Mwanga, kwa sababu idadi ya watu iliyotakiwa kumvua uanachama haikutimia.
  5. Mindyou

    PreGE2025 Lembrus Mchome: Kamuuulizeni Msajili kama kweli ananilipia Apartment Masaki

    Wakuu, Yaani kwa haya majibu ambayo anatoa huyu Mchome ni wazi kuwa alikuwa analipiwa hiyo apartment Soma pia: Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa Vyama vya Siasa
  6. Mindyou

    PreGE2025 Boniface Jacob (Boni Yai): Lembrus Mchome amepangiwa apartment Masaki na Msajili wa Vyama vya Siasa

    Wakuu, Boni Yai ameendelea kumwaga siri za G55 kwenye press yake ya leo. Akiwa anazungumza leo , Boni Yai amesema kuwa Mchome alikuwa anakaa kwenye hoteli moja huko Sinza na akashindwa kulipa kodi na yeye ndo alimsaidia laki 3 kwa ajili ya kulipa Na aliongeza kuwa kwa sasa Mchome amelipiwa...
  7. Just Pray

    PreGE2025 Barua ya CHADEMA ikimjibu Lembrus Mchome kuhusu malalamiko ya kupitishwa kwa viongozi kinyume na katiba ya chama

    YAH: MALALAMIKO YA KUTHIBITISHWA/KUPITISHWA KWA VIONGOZI KINYUME NA KATIBA YA CHAMA Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. KM/CDM/A-B/2025 ya tarehe 18 Februari 2025 kuhusu somo tajwa hapo juu. Baada ya kupitia kumbukumbu za mahudhurio ya kikao cha Baraza Kuu cha tarehe 22 Januari, 2025...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Mchome amuomba Msajili kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA kwa kukiuka Katiba

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika kwenye kikao cha Baraza Kuu kilichofanyika Januari 22, 2025 kwa kuwa kilikuwa na kasoro...
  9. mwanamwana

    PreGE2025 Lembrus Mchome: Lissu hakubali kukosolewa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema anashangazwa na namna ambavyo Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu amekuwa akijibu wanachama wanaotoa maoni tofauti kuwa hatumii lugha nzuri wala namna nzuri. Pia soma > Lembrus Mchome: Tundu Lissu...
  10. A

    Alichokifanya Mchome kwa kumuita Mwenyekiti wake dikteita uchwara, sidhani kama kuna mwanachama wa vyama vingine anaweza kukifanya na akabaki salama

    CHADEMA, hiki alichokifanya Lembrus Mchome mbele ya vyombo vya habari kwa kumuita Mwenyekiti wake wa chama dikteita uchwara, sidhani kama mwanachama yeyote wa CCM au vyama vingine anaweza kusimama hadharani na kumuita kiongozi wake dikteita tena mbele ya vyombo vya habari na kubaki salama. Huyu...
  11. chiembe

    PreGE2025 Lembrus Mchome: Tundu Lissu hana tofauti na Magufuli ni dikteta uchwara

    Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM. Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Mchome wa Chadema atangaza kugombea Ubunge bila kujali harakati za "no reforms, no election"

    Mwenyekiti mstaafu BAVICHA mkoa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome ametangaza nia yake ya kugombea Ubunge bila kujali harakati za Chama chake, CHADEMA za kuzuia Uchaguzi kama hakutakua na Mabadikiliko. Kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa X, Mchome mwanachama wa...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Chadema yamlima barua Mchome, yamtaka ajieleze ndani ya siku 14

    Wakuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemwandikia barua Mwenyekiti wa chama hicho Wilaya ya Mwanga, Lembruce Mchome kikimtaka ajieleze ndani ya siku 14 kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu. Mchome ameingia kwenye mgogoro na chama chake baada ya kuhoji...
  14. sinza pazuri

    PreGE2025 Mchome ahoji uhalali wa John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ChademaTz Wilaya ya Mwanga Lembrus Mchome amesema amemuandikia barua Msajili wa Vyama vya Siasa kufanya uchunguzi juu ya uhalali wa Kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kilichofanyika tarehe 22, Januari 2025 na kumpitisha John Mnyika kuwa Katibu...
  15. Waufukweni

    PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome. Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza...
Back
Top Bottom