The Returning Officer for the Peramiho parliamentary by election, Exavery Luyagaza, has declared Dr Lazaro Kiliani Komba of Chama Cha Mapinduzi CCM the winner after securing 69,002 votes, equivalent to 87 percent of all valid votes cast.
The by election was held following the death of Jenister...
Msimamizi wa Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Peramiho Exavery Luyagaza amemtangaza Dkt. Lazaro Kiliani Komba wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa jimbo la Peramiho kwa kupata kura 69002 sawa na ushindi wa asilimia 87 wa kura halali zote zilizopigwa.
Soma Pia: Victor...
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Mkuu wa Wilaya (DC) wa Kalambo, Dkt. Lazaro Komba kuwa mgombea ubunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma.
Uteuzi huo umefanyika Jumapili, Januari 25, 2026 katika kikao kilichofanyika visiwani Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.