lab

Láb is a village and municipality in western Slovakia in Malacky District in the Bratislava region.

View More On Wikipedia.org
  1. Tommy 911

    Natafuta kazi ya quality control(mkemia) au lab technician

    Habarini wakuu. Mimi ni quality control lab technician nina bsc chemistry pia Nina uzoefu wa mwaka na miezi minne katika steel industry. Natafuta kazi viwandani,migodini kote nafit. Ukinisaidia kuna pesa ya maji. Asanteni
  2. DEALFORREAL

    Sony Alpha a6500 camera plus lenses and accessories plus zhiyun crane 3 lab gimbal

    Nauza digital camera aina ya Sony Alpha a6500 camera plus lenses and accessories plus zhiyun crane 3 lab gimbal .Hii camera imetumika sio mpya ina alama za michuniko kwenye body angalia picha kwa ufafanuzi zaidi lakini haina tatizo lolote inafanya kazi. Bei 3 million .3,000,000 TZS. ipo Zanzibar...
  3. M

    Land Surveyor, Logistic Specialist na Lab Technician wanahitajika

    Habari ya Jumapili wana wa Mungu. Kama Tangazo linavyojieleza, nahitaji Lab Technician aliyesoma mambo ya Food Science, Logistic Specialist na Land Surveyor. Mwenye sifa hizo tafadhali anitumie CV kwenye WhatsApp namba 0615552325
Back
Top Bottom